Ni vigumu kufungulia magazeti kwa sababu mengi yanamilikiwa na Wapinzani

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kati Jambo lisilotakiwa na ccm nikuruhusu watu wapate taarifa sahihi. Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ni mwiba kwa CCM na kufunguliwa kwayo ni kuruhusu magazeti ya Tanzanite na Uhuru yakose soko.

Bado tuna safari ndefu ya Uhuru wa habari Tanzanjia na alichokiktataa Rais Jana kwamba wasipate chakusema naamini wameongezewa agenda. Jana hotuba yake iliwavutia watu wengi sana, huko Duniani wakaandika positively, hasa wakifuatilia implimentation ya ahadi mwisho wakagundua hakuna utekelezaji vikwazo vitakuwa vikubwa zaidi

Tunawachezesha ngoma ya ulaghai wananchi lakini mwisho wanaoumia ni wote.
 
Bora mtu akunyimaye chakula kuliko akunyimaye habari sahihi kwa wakati muafaka.
 
Tanzania daima walishafilisika kitambo, hutakaa uone gazeti la Tanzania daima.
 
Back
Top Bottom