Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Wana jamvi naomba kufahamishwa maana nzima ya kauli inayopendwa kurudiwa mara kwa mara katika matangazo (promo) ya mitandao ya simu "vigezo na masharti kuzingatiwa" kauli hii inabeba maana gani kiuhalisia na vigezo na masharti hayo ni yapi, zaidi ya yote wakati mwingine promo hizi zinahusisha miamala ya fedha baina ya kampuni na mteja sasa kwa nini vigezo na masharti hayo yasifafanuliwe wazi kwa security ya pande zote.