Ní vigezo Gani vinatumika mpaka mtu aitwe celebrity????

Oct 28, 2015
52
45
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kwa wale nitakaowakera ...

Mimi ní mfuatiliaji mzuri wa celebrities forum ila kuna jambo najiuliza alafu sipati Jibu.Kuna baadhi ya watu hatuwajui hata majina licha ya sura zao ila cha ajabu ukija CF (celebrities forum) unakuta they are named as celebrities... Mfano mzuri ní PETIT MAN ,,honestly at first lazima atakua from abroad ila baadae nikagundua kuwa kisa anadate na Dada ake mondi ndo maana anaitwa celebrity..

Inawezekana mm ndio simjui vizur ila kwa anaejua vigezo vya mtu kuwa celebrity atuambie.. Kwa hali ninayoiona maybe hata Mimi ní celebrity ila vigezo ndo sivijui au kama kuna chuo cha ucelebrity mtuambie na sisi kina Juma Ndala Moja tukasome huko
 
Ninavo jua Tz nzima aliye fika level ya u celebrity ni Diamond tuu.
Hao wengine ni watu wanao fahamika kwa kias fulani. Ndio kama ma star wetu so wanaingia kwenye kundi la celebrity ki bongo bongo tu ila hawako celebrated.
So huyo petit man simjui vzuri ila kama ana jihusisha na masuala ya burudani pia kwa level ya bongo atakuwa ana fit.
 
Bas kumbe na mm celebrity.. Maana maisha yang yako controlled
undercontrol.
maisha flani hivi kwamba; Ukiamka asubui kuna watu wako special kujua unakula nini ndo kazi yao, unavaaje? nywele zimekua kuna kinyozi special
leo utatembelea gari gani
leo una interview wapi na saa ngapi.
kuna deal zimejitokeza
una designer wako

yani una organization binafsi kucontrol maisha yako ya kila siku.

ndicho nilichomaanisha, kwamba wewe unakua celebrity tu ,una security wako yani kila kitu kipo chini ya uangalizi maalumu!!!!

ndio maana bongo atleast celebrity ni diamond!
wengine wanapishana kwa vinyozi mitaani huko afu macelebrity. wale ni watu maarufu tu.
 
Tanzania hata wewe ukianza kutembea nusu uchi na kuongea kiingereza basi utasikia unaitwa celebrity. Mimi celebrity wangu wa nguvu na ninayemheshimu ni mama yangu mzazi.
 
Celebrity refers to the fame and public attention accorded by the media to individuals or groups or, occasionally, animals, but is usually applied to the persons or groups of people (celebrity couples, families, etc.) themselves who receive such a status of fame and attention. Celebrity status is often associated with wealth (commonly referred to as fame and fortune), while fame often provides opportunities to make money.
 
Back
Top Bottom