Ni vigezo gani vilitumika kwa Timu ya Simba kumpuuza beki kisiki Lamine!?

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Ukiangalia mechi ya wiki lile baina ya timu ya Yanga na Rollers pale Uwanja wa Taifa beki kisiki yule aliliziba vyema kabisa pengo la `Vidic' wa Yanga aliyekuwa katika mgomo wa maslahi yake.

Leo pia Kule Botswana amedhihili kwamba yeye ni mchezaji muhimu wa nafasi anayoichezea ya ulinzi!

Sasa mimi nauliza ni kwa sababu zipi hasa pale Msimbazi mashine ile ilipuuzwa!!!????
 
Kwa simba hawezi kupata namba! Sioni atakae muweka benchi pale, kuanzia Wawa, Nyoni, Gadiel, Mlipili, Zimbwe, n.k
 
Jicho la tatu la aliyesimamia majaribio yake
 
Kwa simba hawezi kupata namba! Sioni atakae muweka benchi pale, kuanzia Wawa, Nyoni, Gadiel, Mlipili, Zimbwe, n.k
Wawa??? Kama hujui huyo wawa akipigwa pressure unamkataa,kama uliangalia mechi vs azam na ilikuwa makini kuangalia mpira na Si kushangilia tu magoli utakuwa uliona Wawa mapungufu yake
 
Back
Top Bottom