The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 305
[FONT=Palatino Linotype, serif]Hali ya Uchumi
[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Ndugu Wananchi;[/FONT][/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Tunaumaliza mwaka 2010 hali ya uchumi wa nchi ikiwa ni ya kuridhisha. Inaelekea athari za miaka mitatu iliyopita zilizosababishwa na misukosuko mbalimbali ya uchumi wa dunia sasa zinanza kutoweka. Tunatarajia kuwa mwaka huu uchumi utakua kwa [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]asilimia 7[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif] ukilinganisha na [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]asilimia 6 [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]ya mwaka 2009. Matumaini yetu ni kuwa mwaka 2011 uchumi utakua kwa [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]asilimia 7.2 [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]kama mambo yatakwenda kama tunavyotarajia. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Mfumuko wa bei [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]nao umeshuka sana kutoka wastani wa[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]asilimia 12.1[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif] mwaka 2009 hadi [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]asilimia 5.5[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif] Novemba, 2010. Ni dhamira yetu na matarajio yetu kuwa mfumuko wa bei utaendelea kuwa chini ya hapo. Kwa ajili hiyo hatuna budi kuhakikisha kuwa hali ya ipatikanaji wa chakula nchini inaendelea kuwa nzuri[/FONT]