Ni vema Serikali ya Tanzania ikairejesha pia NBC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,477
215,320
Wakuu natanguliza salamu za sikukuu , Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania , ninayo haki ya kushauri mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na Serikali yangu .

Nimeona na natambua juhudi za serikali za kuirudisha mikononi mwa umma kampuni ya simu ya Celtel , Zain na sasa Airtel waliyouziwa watu wasiojulikana kwa gharama ya kutupa isiyozidi Tsh elfu 10.

Naomba Iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara ambayo mauzo yake yalimtoa machozi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ilirejeshwe tena mikononi mwa umma .

Miaka michache huko nyuma tuliwahi kurejesha mali zetu zilizoporwa kama vile Tanesco na TRL , hili pia tutaliweza tu.

Mungu ibariki Tanzania .
 
Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania , ninayo haki ya kushauri mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na Serikali yangu .

Nimeona na natambua juhudi za serikali za kuirudisha mikononi mwa umma kampuni ya simu ya Celtel , Zain na sasa Airtel waliyouziwa watu wasiojulikana kwa gharama ya kutupa isiyozidi Tsh elfu 10.

Naomba Iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara ambayo mauzo yake yalimtoa machozi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ilireneshwe tena mikononi mwa umma .

Mungu ibariki Tanzania .
Naunga mkono hoja!!
 
Baada ya kuirejesha wahusika wote wahojiwe TAKUKURU na kisha wapelekwe mahakama ya mafisadi kwa kuhujumu uchumi na kutakatisha pesa .
NBC nayo ni janga kweli! Tulifanyiwa uhuni wa ajabu sana, dawa yake iko jikoni nayo,lazima irudishwe na wahusika washughulikiwe.Tulifikia mahali wenzetu tuliowaamini ndiyo walikuwa wanatumaliza kwa kutuibia kwa kisingizio cha utandawazi.
 
Ndio maana tumeleta hapa ili kuwakumbusha wahusika , kama kweli tuko makini basi hili lazima lishughulikiwe .

Je ujasiri huo wanao ?
 
Yaani irudishwe NBC wakati Mkapa huyo huyo ndie aliewaletea Maghufuli ? Inaweza ikarudishwa mengine ila siyo NBC
, rais ni mnafiki sana anakata sehemu moja tu asubirie hukumu ya karma.
Ha! Ha! Ha!
 
Ndio maana tumeleta hapa ili kuwakumbusha wahusika , kama kweli tuko makini basi hili lazima lishughulikiwe .

Je ujasiri huo wanao ?
Haiwezi kushughulikiwa u'r waste your time Nyerere pamoja na ukali wake wote lakini alishindwa ataweza shamba boy , mkapa ni mhaini angefaa aondolewe huko nchini arudi kwao msumbiji jinga sn
 
Aiseeeee !!!!
 
Wakuu natanguliza salamu za sikukuu , Nikiwa kama Mwananchi wa Tanzania , ninayo haki ya kushauri mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na Serikali yangu .

Nimeona na natambua juhudi za serikali za kuirudisha mikononi mwa umma kampuni ya simu ya Celtel , Zain na sasa Airtel waliyouziwa watu wasiojulikana kwa gharama ya kutupa isiyozidi Tsh elfu 10.

Naomba Iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara ambayo mauzo yake yalimtoa machozi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ilirejeshwe tena mikononi mwa umma .

Miaka michache huko nyuma tuliwahi kurejesha mali zetu zilizoporwa kama vile Tanesco na TRL , hili pia tutaliweza tu.

Mungu ibariki Tanzania .
Tokea lini mzandiki wewe umeanza kuishauri "mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na serikali ya awamu ya tano!!!????" . Naona mnaanza kumuelewa Mh. Rais taratibuuuuu.
 
haya yote ni Mkapa! Itarudije wakati walinunua kwa mkataba mliokubaliana? Akina Mkapa ilibidi wajibu haya madudu pamoja na kuwa katiba imewapa kinga.
 
Dhana ni mbaya ila kama unahisi kuna taratibu zilikosewa ziweke wazi tuzijadili mkombozi wetu yupo,
 
Haiwezi kushughulikiwa u'r waste your time Nyerere pamoja na ukali wake wote lakini alishindwa ataweza shamba boy , mkapa ni mhaini angefaa aondolewe huko nchini arudi kwao msumbiji jinga sn
Mkuu Mkapa mwanafunzi wa Nyerere alibebwa na Mwl Nyerere hadi akaukwaa uraisi bila jasho.Lakini vioja alivyofanya kwa miaka 10 ni afadhali ya utawala wa kikoloni wa Jerumani na British kwa pammoja.
 
Shambulia uzi usimshambulie mleta uzi .
Kwani Uzi umejileta wenyewe hapa!? Acha UZANDIKI uchwara wewe!
Kila kukicha humu unaishambulia serikali ya awamu ya tano kwa matusi na kejeli za ajabu. Leo hii umepatwa na kipi mpaka uingiwe na unyenyekevu wa kiwango cha Standard Gauge!?
Shubaaaaambiiiiit!
 
Tokea lini mzandiki wewe umeanza kuishauri "mambo mazuri yanayopaswa kufanywa na serikali ya awamu ya tano!!!????" . Naona mnaanza kumuelewa Mh. Rais taratibuuuuu.
upload_2017-12-24_13-24-8.jpeg
 
Kwani Uzi umejileta wenyewe hapa!? Acha UZANDIKI uchwara wewe!
Kila kukicha humu unaishambulia serikali ya awamu ya tano kwa matusi na kejeli za ajabu. Leo hii umepatwa na kipi mpaka uingiwe na unyenyekevu wa kiwango cha Standard Gauge!?
Shubaaaaambiiiiit!
Kwi! Kwi! Kwi! Vipi hii NBC ni kaa la moto ?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom