Ni vema kutumia majina ya watu katika hali isiyoleta mkanganyanyiko

vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,807
2,188
Leo nimeingia website ya Tamisemi na ghafla nikakutana na heading inayosema "Dkt Gwajima: Watanzania wanafahamu na kumiliki mafanikio ya sekta ya Afya ya Msingi".

Moyo wangu kidogo utokee mbavuni nikijiuliza hee huyu bwana Gwajima ame advance mpaka sasa yupo ndani ya website ya Tamisemi? Lakini niliposoma ili nielewe vizuri ndipo nikagundua kuwa ni mtu anayeitwa Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mchapa kazi mzuri tu Tamisemi akiwa ni Naibu katibu Mkuu anayeshughulikia Afya.

Ni vizuri majina mengine yakaandikwa kamili ili kuleta ladha kamili ya habari; mfano,itakuwa ngumu kuelewa pale mwandishi atakapoandika "Dkt. Kikwete awafanyia operation watoto kumi" wakati kumbe ni Doctor Wilson Maganga Kikwete wa Bugando Hospital

----------------

Capture.PNG
 
View attachment 1534606
Kwa hiyo watu waache kutumia majina yao kisa kuogopa kufananishwa na mla kondoo?
 
Back
Top Bottom