Elections 2010 Ni uzuzu wa watz au pure uchakachuzi?

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
391
Hivi kwa hii trend ya matokeo hasa upande wa uraisi, ccm na shingo yao (NEC) wanataka kututhibitishia nini: kwamba sisi watz ni mazuzu tunaochukua almasi feki na kuacha halisi au kwamba wao ni ma-specialist katika kuchakachua?
 
Back
Top Bottom