mazegezege
Member
- Mar 11, 2012
- 27
- 8
Inasikitisha sana kuona wafanyakazi wa serikali hasa walio chini ya halmashauri wakiwa hawajalipwa mishahara ya mwezi Novemba.sababu zinazotolewa ni kuwa wafanyakazi hawa account namba zao hazionekani na wametakiwa kuzipeleka tena kwenye ofisi ya uhasibu na kwa afisa utumishi.suala hili linaacha maswali mengi yasiyo na majibu!
Mwezi uliopita(Oktoba) tatizo la kuchelewa kulipa mishahara lilijitokeza na nakumbuka ndg pinda alipoulizwa bungeni ktk kipindi cha maswali na majibu alisema kuna tatizo katika mfumo wa kumputer wa hazina wa kulipa mishahara na akaahidi kuwa halitajirudia tena!
Katika halmashauri kadhaa baadhi ya wafanyakazi hawajalipwa mishahara sijamsikia huyu ndg Pinda akiwaeleza Watanzania hawa wenye vimishahara kiduchu sababu ni nini? mfano katika halmashaur ya Meru ni wafanyakazi wachache waliopata mishahara!
Nimepata kusikia kuwa siku hizi mishahara inasubiliwa tra wakusanye kusanye then wanapeleka Hazina, kwenye tr 25 hivi then ndio Hazina wapeleke hazina ndogo kwa ajili ya malipo! sasa najiuliza kama maneno hayo ni kweli, inaweza kuwa mwezi huu hazikutosha? ndio maana wamelipwa wachache?
Naomba kuweka mjadala huu mezani na kama kuna anayeweza kuboresha zaidi ili tujue hatima ya nchi yetu bila kujali uchama wetu na isiasa wetu!
Naambatanisha majina ya baadhi ya waliokosa mishahara mpaka sasa pamoja na tangazo la moja ya halmashauri likiwaeliza wafanyakazi waliokosa mishahara!!!!!
Nawakilisha!
- Wafanyakazi waliokuwa wakilipwa kwa zaidi ya miaka mitano hizo account namba zimepotelea wapi?
- Hakuna mfumo wa kutunza kumbukumbu katika halmashauri zetu?
- Wafanyakazi kuagizwa kila wakati kupeleka taarifa zao, hakuna system ya kutunza taarifa za wafanyakazi?, hakuna backup system ktk halimashauri zetu?