Ni uwendawazimu na usanii kwa CCM kujibu hoja za CHADEMA kwa maandamano na mikutano

Naunga mkono kusudio la MAGAMBA kuandaa mkutano. Wananchi wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwasikiliza. CCM wasambaze malori jiji zima kujihakikishia mahudhirio mazuri! Ni katika kuwasikiza na hawa wenzetu,wananchi wataelewa nani ni mtetezi wao na nani ni mkandamizaji wao. Kwa idadi ya wahudhuriaji itakayojitokeza ,sidhani kama wanahitaji uwanja wa Jangwani! Ningeshauri wakafanyie Stendi ya Tegeta Kibaoni ama stendi ya Makoka ,Ubungo Kibangu.
 
Back
Top Bottom