Ni uwendawazimu kupandisha bei ya mafuta ya taa, maji

Wanasiasa wetu wengi ni wabinafsi na wavivu wa kufikiri. Siamini kama kweli serikali imeshindwa kudhibiti suala la uchakachuaji kiasi cha kukimbilia kupandisha bei ya mafuta ya taa kama suluhisho.

kwanini wachukue complicated solution wakati kuna simple solution? halafu haiwaumizi mifuko yao, kazi kwetu walalahoi.
 
dear interlectuals what is your take on this?
Is our parliament crazy? how could they increase the kerosene price more than that of diesel (Gas Oil)for the sake of kuchakachua and loss of tax? 90% of Tanzanian do not have cars, but they use kerosene and they are in extreme poverty, were they considered when making this decision? maisha bora kwa kila mtanzania is a myth!!!!!!
 
watz hatuna upendo na hatupendani itakuwa ngumu mtu mnene kukumbuka mambo ya mtu wa chini lets pray to our lord god amen..
 
dear interlectuals what is your take on this?
Is our parliament crazy? how could they increase the kerosene price more than that of diesel (Gas Oil)for the sake of kuchakachua and loss of tax? 90% of Tanzanian do not have cars, but they use kerosene and they are in extreme poverty, were they considered when making this decision? maisha bora kwa kila mtanzania is a myth!!!!!!
Mkuu unaishi Tanzania ipi?
Hivi hujaelewa kilio cha uchakachuaji mafuta? kilio kilchodumu kwa miaka kadhaa sasa.
Imekuwa biashara nzuri sana kununu mafuta ya taa yenye kodi kidogo na kuchanganya na Diesel yenye kaodi kibao kwa nia ya kuiba kodi, hivi hili lielizwe vipi mpaka watu waweze kulielewa?
Effect ya hii adulterated fuel(si mafuta ya taa wala diesel kamili) ni kubadilisha burning characteristics za hayo mafuta.
Kutaokana na ukweli kuwa Tanzania hatutengenezi vyombo vya moto vya kutumia mafuta hayo, walitengeneza engines wanatumia burning characteristics ya mafuta yaliyo sokoni, na ni kerosine,petrol, diesel na heavy diesel oil(HDO).
Taifa so far limepata hasara kubwa kutokana na kuharibika mitambo(na si magari tu) kwa kutumia hii adulterated fuel.
Kufikiri kuwa wale wasio na magari hawadhuriki ni ukomo wa fikra.
Wote wanadhurika kama hata mtu anaye tumiaa mafuta ya taa, sijui yanafikaje huko.
Tusianzishe thread bila kujua undani wa decision, no research no right to speak.
 
Hiki kitu wewe acha tu, inauma sana.Nasikia uchungu hata kukiongelea.Watawala sasa wamefika mahali wamejisahau wanajali matajiri kuliko maskini.No,Tanzania iko njia panda,Mungu hawezi kuvumilia upuuzi huu.Lazima Tanzania itaadhibiwa.
dear interlectuals what is your take on this?
Is our parliament crazy? how could they increase the kerosene price more than that of diesel (Gas Oil)for the sake of kuchakachua and loss of tax? 90% of Tanzanian do not have cars, but they use kerosene and they are in extreme poverty, were they considered when making this decision? maisha bora kwa kila mtanzania is a myth!!!!!!
 
Mkuu, no research no right to speak. Ni kweli, lakini inakuhusu wewe pia. Serikali ina jukumu la kudhibiti uchakachuaji. Ni kuhakikisha inaweka mazingira ambayo wafanya biashara wa mafuta hawachakachui mafuta yale, na si kwa kupandisha kodi ya mafuta ya taa. Ni masikitiko makubwa kuwa tuna nchi yenye wasomi wengi wasioumiza akili zao kupata fikra sahihi. Tuna wasomi wasiopenda kufikiri na kulinganisha mambo. Mtu akigongwa na gari tunakimbilia kuweka matuta. Hatutaki kufikiri zaidi tunapenda short cuts. Mafuta ya taa kuongeza kodi ni kuwahukumu wasiohusika na dhambi ya uchakachuaji, na ni watu masikini wa nchi hii. Tunategemea tutapunguza lini umasikini? Dawa hapa ni kupandisha adhabu ya wachakachuaji na kuweka watu wenye kuhakiki quality ya mafuta kila sehemu na si kupandisha bei ya kerosine. Ni uonevu mkubwa na hupaswi kuunga mkono kwa namna yoyote. Wafilisiwe watu wanaochakachua mafuta na hawatakuwapo tena. Tusishabikie njia za mkato. Ni udhaifu mkubwa sana.
 
Kwa kweli hata mimi nimewashangaa sana serikali ya CCM. Mafuta ya taa ndo nishati ambayo inatumiwa na 80% ya watanzania walioko vijijini kwa ajili ya mwanga! Huu ni utesaji wa hali juu wa wananchi!
Sielewi CCM wana mkakati gani, maana ni mateso kila mahali! Mjini tunaotegemea umeme, umeme haupo! Kijijini wanategemea mafuta ya taa, wamepandisha bei! Kweli Watanzania hawana mtetezi...:(!

Hakika serikali hii haiko makini kabisa.Hali imekuwa mbaya sana.
 
Hili ni swala gumu, kwa upande mmoja nilitumia gari diesel, ambalo tangu 2006 hadi 2009 lilikuwa linanitesa kwasababu ya kerosene iliyokuwa kwenye petrol, lakini kwa upande mwingine nyumbani wanatumia kesosene kupikia. Haya yote ni ishara za umaskini wetu hapa Tanzania. Ninakubali kupandisha bei ya kerosene ni kuwaonea tabaka la kipato cha chini. Serekali unapalilia umaskini na ufukara badala ya kuleta maendeleo. Kwanini mradi wa Steiglers Gorge ambao una uwezo wa kuzalisha MW 1200 za umeme haukutekelezwa tangu miaka ya sitini? badala yake miradi yenye uzalishaji mdogo ndiyo ilipewa kipaumbele? Kidatu 200MW, Mtera 80MW, Nyumba ya Mungu 8MW!, etc etc............
 
Hili ni swala gumu, kwa upande mmoja nilitumia gari diesel, ambalo tangu 2006 hadi 2009 lilikuwa linanitesa kwasababu ya kerosene iliyokuwa kwenye petrol, lakini kwa upande mwingine nyumbani wanatumia kesosene kupikia. Haya yote ni ishara za umaskini wetu hapa Tanzania. Ninakubali kupandisha bei ya kerosene ni kuwaonea tabaka la kipato cha chini. Serekali unapalilia umaskini na ufukara badala ya kuleta maendeleo. Kwanini mradi wa Steiglers Gorge ambao una uwezo wa kuzalisha MW 1200 za umeme haukutekelezwa tangu miaka ya sitini? badala yake miradi yenye uzalishaji mdogo ndiyo ilipewa kipaumbele? Kidatu 200MW, Mtera 80MW, Nyumba ya Mungu 8MW!, etc etc............
 
dear interlectuals what is your take on this?
Is our parliament crazy? how could they increase the kerosene price more than that of diesel (Gas Oil)for the sake of kuchakachua and loss of tax? 90% of Tanzanian do not have cars, but they use kerosene and they are in extreme poverty, were they considered when making this decision? maisha bora kwa kila mtanzania is a myth!!!!!!

Nilitegemea pesa itakayo patikana kutokana na ongezeko la mafuta ya taa ingetolewa RUZUKU KWA WAKAZI WA VIJIJI WANAOTUMIA MAFUTA NA TAA KAMA UMEME WAO.Huu ni wizi na unyonyaji.Mafuta yanauzwa bei ya chini sana katika soko la mafuta sasa iweje yawe sawa na Diesel.
wizi wizi na unyonyaji.?
 
Mkuuu hoja afifu,na mbumbumbu wa kufikiri,mawazo finyu,KUMBUKA KUWA MAFUTA KATIKA SOKO DUNIANI NA NAFUU SASA,BEI IMEPANDISHWA HAPA NCHII TU,Kenya NA Uganda ni bei ya chini na baada ya kuagiza diesel nakuakikishia itaagizwa kerosine kwa wingi,?
No more u must think twice how to solve the problem?
 
Hili la kundishia wanyonge vijijini bei ya mafuta ya taa mimi haliingii akilini eti kwa sababu tumeshindwa kuthibiti wanaochakachua, serikali imeshindwa kwa sabab wanakula nao pamoja. Uchakachuaji vituo vya mafuta si sir ya kutafuta viko wazi wakati wowote ukifika kituoni unajua na si kama madawa ya kulevya yanayofanyika kisiri sana. Serikali gani inaweza kushindwa tatizo hili hata jibu iwe kuumiza wanyonge kule vijijini. Kama hili tu serikali imeshindwa basi kuna mengi inashindwa na ndiyo maana tupo tulipo sasa.

Aibuuuuu na ajabu na wabunge wameridhia maana nao wamewasahau wapiga kura wao. Acheni kuonea watu wazi hivi.
 
Hii bei imepanda kwa asilimia zaidi ya 100%,toka tsh 900 hadi 2100 kwa kisingizio cha kuzuia uchakachuaji wa petrol na diesel,sasa hawa wananchi wa vijijini wanaotumia kerosine kwa ajili ya vikoroboi,ndo wanaochakachua?,hivi mnajua watumiaji wakubwa wa Kerosine ni watu wa vijijini na wa kima cha chini sana?,huku mijini tunatumia Gas,Majenereta,Taa za kichina za betri na za kuchaji,Solar na Tanesco.Kwa hali hiyo,haki ya Mungu,mmewaadhibu watu wasio na hatia.Mi najua kuna mashine za kupima mafuta yaliyo chakachuliwa,kweli mmeshindwa kuandaa utaatibu wa kuyapima mafuta kila siku katika vituo vya mafuta na kutoa adhabu kwa wenye hatia?,Mbona BP juzi mmewaletea noma?,mi nadhani mmedhalia kutumaliza kabisa,mmetutafuna mjini,sasa mmehamia vijijini.wachakachuaji wakigungua kuchakachua kwa kutumia mikojo ya bia,nadhani mtapandisha kodi ya bia na tununue mara mbili ya bei ya sasa,bia moja kuanzia elfu 3000,mko juu wasomi wetu wa WEHu Ra,Wehu kasisa,hope less kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom