Ni utaratibu mpya wa UNICEF au wizi?

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Nimeona tangazo la kaz unicef tanzania nimeomba nimerudishiwa form ambayo inatakiwa kujaza pamoja na kutuma ela

Mwenye uelewa zaid tujuzane jaman
Screenshot_20190907-211935.jpeg
 
angalia hiyo E mail halafu shtuka kidogo, akaunti ya muhasibu ni no. yake ya simu shtuka tena, then waambie elfu kumi na mbili inaandikwa hivi: 12,000 na sio 1,2000
Yaani vitu viko wazi kabisa ila lazima awapate.... Wajinga hawawezi kuisha dunian
 
Kabla ya kutuuliza sisi, ilibidi kwanza uangalie hyo email address, utaona kabisa hapo unaliwa kekundu!
 
angalia hiyo E mail halafu shtuka kidogo, akaunti ya muhasibu ni no. yake ya simu shtuka tena, then waambie elfu kumi na mbili inaandikwa hivi: 12,000 na sio 1,2000
Na mwisho UNICEF sio Shirika Lisilo la Kiserikali, haipo chini ya mwamvuli wa NGOs
 
Nimeona tangazo la kaz unicef tanzania nimeomba nimerudishiwa form ambayo inatakiwa kujaza pamoja na kutuma ela

Mwenye uelewa zaid tujuzane jamanView attachment 1201025
Jiongeze Mkuu:
Logo imewekwa kitapeli
Uandishi tu peke yake wa kitapeli sidhani kama Unicef hawajui kutumia word processor
Sidhani kwama Unicef hawajui kuandika 12,000 wanaandika 1,2000
Unicef watumie gmail.com!!!?
 
Back
Top Bottom