Ni ushauri upi mke akikupa hutaukubali

Ushauri wa mke ni wakuufanyia sana tathimini kabla hujatenda...most of them wana tamaa sana,ndio wanasababisha wanaume wanaingia kwenye risk business ili kuwaridhisha,kama umeoa mke anakushauri kuingia katika mishe ambazo ni risk huyo ni wa kuangaliwa mara mbili....
 
Ushauri wowote ambao baada ya kuufanyia tathimini nitaona hautekekezeki au hautaleta tija nitaukataa. Siyo kutoka tu kwa mke wangu, bali kutoka kwa mtu yeyote yule
 
sometimes relationships are hard because we fall in love with women who have sense of humor and we are serious as hell.
 
Back
Top Bottom