Ni ushauri tu kwa mwana jf

Nitakomaa nae hivo hivo simuachi.....
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    37.9 KB · Views: 194
Wagombanao ndio wapatanao,leo kilio kesho kicheko na tabasamu maisha yanasonga.
Hakuna mua usokuwa na kifundo.
 
hata kama bomu la machozi hilo ndio nililolichagua ahahahahaaaaa nakomaaa na jiji
 
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!

Hivi nyie bado mnahangaikia mapenzi? mapenzi ya kweli ni kuwa na mademu 10 kwenda juu,akiringa huyu unapiga huyu! raha mstarehe hulii wanalia wao tu.
 
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!

hilo ni BOMU walaa si mpenz tena. Maana kiuhalisia kabisa mtu anayekupenda kwa dhati hawez kuwa chanzo cha machozi yako!
Na ndio maana kuna usemi usemao "MPENDE AKUPENDAE ASIYEKUPENDA MWACHE ANAMWINGINE"
Alafu mambo mengine ni yakufikiria tu kwa akili, kwanini umlilie mwanamke huyo huyo tu? inamaana WAMEISHA wote?

Na ninachoamini mimi ni kwamba
"yule msichana unaemuona wew ni mrembo huenda akawa kolwe(nyani) ukimringanisha na mwanamke mwingine ambaye bado hujamwona!"
So tusilielie kizembe hata kama utakuwa umempenda vipi...
 
Back
Top Bottom