Evelyn ww utakufa kwa presha kama utafanya hivyo oooooh! haya
Oooh mahaba niue, acha tu anipe presha kwakweli.....
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!
hata kama bomu la machozi hilo ndio nililolichagua ahahahahaaaaa nakomaaa na jiji
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!
Oooh mahaba niue, acha tu anipe presha kwakweli.....
Nitakomaa nae hivo hivo simuachi.....
ukweli mie nilisha sema acha mahaba yaniue manake nitaruka ruka hadi lini?
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!
ukikomaa na jiji lazima upauke tuu!!kubali yaisheee!