orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 757
- 773
Hello waungwana, i hope mko poa.
Kuachana ni jambo ambalo sio geni kwenye uhusiano na hutokea pale ambapo X na Y mnaposhindwa kuendelea kuwa pamoja kwa sababu moja ama nyingine.
Hii inaweza kuwa kwasababu mmoja kamkosea mwenzake au wote mnaona kama mmeshindwa kuendana kitabia.
Swali la kizushi: Ni ushauri/nasaha gani ungependa kumpatia yule anaetoka na aliekuwa mpenzi wako (Your Ex)?