Ni upuuzi uliokithiri kuharibu sura ya Tanzania kimataifa kwa lengo la kumkomoa Rais Magufuli

Watu Kama wewe tunawahitaji katika taifa letu wanao andika kwakulipwa 7000 na akina membe
Watu Kama wewe tunawa hitaji katika taifaletu kweli wewe nimzalendo wataifa hili ubalikiwe sana.kuna watu wanatumika vibaya bilakujali yakwamba ikosikumoja wata kuja kuhatalisha usalama wataifa letu eti kwasababu wanali pwa nakina membe
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
Pia ni upuuzi raisi kuharibu sura ya nchi, ili kulinda madaraka ya kakikundi ka watu wachache, walaji
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
takataka....rubbish....garbage
 
Wacha uongo eti watu wameandaliwa,wameandaliwa na nani mnataka kuleta hali ya taharuki isiyokuwa na maana yoyote ili mradi tu muonekane nyie ni wazalendo kumbe hamna lolote mnavizia kuteuliwa tu. Tanzania ni yetu sote wala hakuna mtu anaitakia mabaya nchi ila njaa zenu ndiyo mnawapambisha watawala taharuki tu,wacheni upumbavu.
 
Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake!

Kwanza kushindwa kuelewa kwamba baadhi ya tabia ya viongozi na watendaji ni zaidi ya hayo mabango unayoyaogopa ni upumbavu wa hali ya juu!

Je, Swala la akina Lisu Mpaka uende UN au UK au USA?

Je, Swala la waandishi wa Habari kutokufanya kazi zao kwa uhuru unahitaji kuwa na Bango?

Je, Swala la vyama upinzani kutokuwa huru kufanya shughuli zao unahitaji Bango?

Kama mimi ningekuwa kiongozi ningeruhusu hayo yamabango huenda kuna kitu sikijui nijifunze
 
Acha niwe wa kwanza kukupongeza kwa neno lenye hekima.
Haya endelea
IMG-20190814-WA0022.jpeg
 
hekima ya kukaa kimya watu wanaumia??. Hiyo hekima unayoisema unaitaka itolewe na upande mmoja?? Mfumo wakuwakosoa viongozi wenzake ile ni hekima??.kuwatukana mawazriri na Kuwait wapumbavu hiyo ndio hekima??. ikipenda kupata hekima lazima uwe na hekima pia

Kama kupiga kelele kutasababisha watu waumie mara elfu moja zaidi ni kipi cha busara kufanya?
 
anayeharibu ni yule anayefanya ya kuharibu au anayesema kuna mambo yanaharibika... ?

Ni nani bora anayesema (kwa kutumia uhuru wake wa kuongea anachokiona) au anayeona na kukaa kimya (au kuongea tofauti na dhamira yake)?

Ukikubali kuwapa uwanja watu wa kusifu basi hata wanaopinga nao uwape uwanja..., kama ulivyosema hii nchi ni ya wote.., wanaopinga na wanaosifu pia...
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
Chuki iliopitiliza huwa inaondoa mpaka hekima ya mtu,labda wana mpango wa kuhama hii nchi itakapoingia kwenye majanga...
 
Pia ni upuuzi wa kiwango kikubwa mno kumpiga Tundu Lissu risasi kwa sababu tu amekuita dikteta uchwara! Na upuuzi mwingine mkubwa ni kua msomi wa kiwango cha PhD usiyejua kua Saddam Hussein alikua raisi wa nchi gani na kuishia kusema alikua raisi wa Libya!
Nawewe niwareware waufipani walio kaa kikao Jana kupanga kummalizia jamaa halafu weseme selikali mpuuzi kabisa
 
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.
Kama ambavyo watu aina yako wanavyokenua meno wanaposikia watu wanaoikosoa serikali wameponea chupuchupu kuua au kupotezwa!!! Hatuwezi kuwa na taifa lililojaa misukule inayosifia kila kitu na kila wanapotokea watu wa kukosoa waonekane eti ni wahalifu!! Kama hao mnaowaita mabeberu wataunga mkono harakati za kupinga ukandamizaji unaofanywa na serikali na vibaraka wake, kwa hakika tuwaunga mkono hao kuliko wazalendo fake wanaochekelea kuona Watanzania wenzao wanakumbwa na madhira!!

Bora kuishi nyumba moja na beberu kuliko kuishi na kijitu kinachojifanya eti mzalendo ambae baada ya kuona Ben Saanane kapotezwa; yeye anafurahia! Baada ya kuona Tundu Lissu amemiminiwa risasi kadhaa; yeye na washenzi wenzake wanafurahia! Baada ya kuona Azory amepotezwa; wao wanafurahia! Wanapoona mtu kama Kabendera anabadilishiwa mashitaka kila leo; wao wanafurahia!

Utakuwa mtu wa ajabu na wa hovyo kupita maelezo ikiwa unatarajia tuwaunge mkono washenzi kama hao! IKiwa hao mnaowaita mabeberu wanapinga uharamia kama huo; kwa hakika tutakuwa nyuma yao kuliko kuwa nyuma ya watu aina yako!
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
Kwani lipi rahisi kati ya Watanzania karibu milioni 30 mmoja mmoja kuacha kushangilia Mataifa ya Magharibi kumkosoa Magufuli kwa vitendo vinavyoumiza wananchi, au kwa mtu mmoja Magufuli kuacha vitendo hivyo ili mataifa ya magharibi yasiwe na mabaya ya kusema kuhusu Tanzania?

Kwanini hayo mataifa yasiwe na la kusema kuhusu Malawi, Zambia, Kenya, Botswana nk, yawe na la kusema kuhusu Tanzania?

Sasa wewe na Magufuli ndio mnalo la kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom