Ni upuuzi uliokithiri kuharibu sura ya Tanzania kimataifa kwa lengo la kumkomoa Rais Magufuli

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,829
3,118
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu hasa yale negative kuhusu utawala wa nchi ,hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakiharibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,waliharibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
 
Yanayosemwa ni kweli au uongo??
 
Attachments

  • Logic.jpeg
    Logic.jpeg
    24.3 KB · Views: 51
Yanayosemwa ni kweli au uongo??

Siyo kila ukweli lazima uuanike kwa majirani. Siku zote mwenye hekima huficha aibu yake.
Hata kwenye ndoa zetu, tunapishana, lkn kwa mwenye hekima hutamuona akikimbizana na mkewe ili ampe kichapo eti kwa kuwa yeye huwa hafichi makosa na hataki unafiki. Utakuwa wa ajabu sana, maana hata nyumbani mkigombana na mkeo wakija wageni mnasema poo, ugonvi unasitishwa na hata kama mlinuna mnaahirisha, ili wageni wasigundue kitu, na hiyo si unafiki, bali ni hekima.
Aksante.
 
Ng'ombe ww yani upotezwaji wa watu nakutupwa mtoni unafananisha na matatizo ya ndoa
 
Siyo kila ukweli lazima uuanike kwa majirani. Siku zote mwenye hekima huficha aibu yake.
Hata kwenye ndoa zetu, tunapishana, lkn kwa mwenye hekima hutamuona akikimbizana na mkewe ili ampe kichapo eti kwa kuwa yeye huwa hafichi makosa na hataki unafiki. Utakuwa wa ajabu sana, maana hata nyumbani mkigombana na mkeo wakija wageni mnasema poo, ugonvi unasitishwa na hata kama mlinuna mnaahirisha, ili wageni wasigundue kitu, na hiyo si unafiki, bali ni hekima.
Aksante.
hekima ya kukaa kimya watu wanaumia??. Hiyo hekima unayoisema unaitaka itolewe na upande mmoja?? Mfumo wakuwakosoa viongozi wenzake ile ni hekima??.kuwatukana mawazriri na Kuwait wapumbavu hiyo ndio hekima??. ikipenda kupata hekima lazima uwe na hekima pia
 
Tunatofautiana sana kimtazamo!

Anyway, una uhuru wa kusema unachoona kwako ni sahihi hata kama wengine tunaona unachopalilila ni ujinga usio na msingi!

Naona sasa umeshaelewa jinsi ilivyo ngumu kumuacha au kukubaliana na maoni ya mtu mwingine ambayo wewe binafsi unaona si sahihi kwako.
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
Kwani mabeberu si dili saivi maana ukiyachukua ukayafuga, yani xmass hupati shida
 
Siyo kila ukweli lazima uuanike kwa majirani. Siku zote mwenye hekima huficha aibu yake.
Hata kwenye ndoa zetu, tunapishana, lkn kwa mwenye hekima hutamuona akikimbizana na mkewe ili ampe kichapo eti kwa kuwa yeye huwa hafichi makosa na hataki unafiki. Utakuwa wa ajabu sana, maana hata nyumbani mkigombana na mkeo wakija wageni mnasema poo, ugonvi unasitishwa na hata kama mlinuna mnaahirisha, ili wageni wasigundue kitu, na hiyo si unafiki, bali ni hekima.
Aksante.
Luod and clear
 
Bro

umenena na kumaliza

Ila kuna wapuuzi hawatakuelewa kbs

Mahasidi wa nchi na nafsi zao
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.
Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.
Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.
Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.
Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae
Pia ni upuuzi wa kiwango kikubwa mno kumpiga Tundu Lissu risasi kwa sababu tu amekuita dikteta uchwara! Na upuuzi mwingine mkubwa ni kua msomi wa kiwango cha PhD usiyejua kua Saddam Hussein alikua raisi wa nchi gani na kuishia kusema alikua raisi wa Libya!
 
Back
Top Bottom