Ni upuuzi uliokithiri kuharibu sura ya Tanzania kimataifa kwa lengo la kumkomoa Rais Magufuli

Hebu Rud darasan karekebshe hyo lugha
Watu Kama wewe tunawa hitaji katika taifaletu kweli wewe nimzalendo wataifa hili ubalikiwe sana.kuna watu wanatumika vibaya bilakujali yakwamba ikosikumoja wata kuja kuhatalisha usalama wataifa letu eti kwasababu wanali pwa nakina membe
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
Yaani upuuzi wa kutekana...kupotezana, kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, haki za kimsingi za kiraia na kisheria kuminywa, na mengine mengi ya kufanana na hayo...

Ndio watu tukae kimya kisa jumuia ya kimataifa itajua,,, huu upuuzi peleka CCM....

Mnatuharibia Nchi kwa vitendo vya wasiojulikana alafu watu wakae kimya....!!!? Utakuwa ujinga uliopitiliza
 
Kukosoana ni muhimu saana mbaya ni kuvuka mipaka na kutumia lugha mbaya ama kuwatetea wajuaji toka nje ya nchi against serikali yetu... Kiukweli nchi iliyumbishwa sana na mabaradhuri na rais lazima atembee kikomandoo lasivyo atatulizwa!!
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
Ujinga huu umewahi umewahi kumwambia anaewatuma wasiojulikana kwamba michezo yao ni mauti kwa Nchi au wanaotekwa nakuuliwa kwako ww sio issue
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
Maneno yako yamekuwa ya jumla sana, kiasi cha kukosa maana.

Inawezekana watu wakaharibu jina la Tanzania visivyo, kwa lengo la kumkomoa rais Magufuli.

Na inawezekana watu wakamsema rais Magufuli kwa uzalendo kabisa, na rais mwenyewe akawa ndiye anayefaa kubeba lawama.

Toa mfano mmoja tuuchambue kwa kina, hizi habari za jumla jumla tu zinakosa kitu cha kujadili kwa kina.
 
Kwahiyo afadhali huyu anaeteka nakuua watu kimya kimya
Haya madogo tu umeshndwa kuvumilia, mpaka umeniita mimi mnyama. bro kile kiti ni kazi kukikalia na kufanya kwa hekima. Nahisi ungekuwa wewe ndo namba 1 walahi ungekuw unatufyatulia risasi hadharani.
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu kuhusu utawala wa nchi hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
Aliezima bunge live ni nani, anaevunja katiba kila siku ni nani,anaeteka watu ni nani, unaefunga wapinzani ni nani,alieiba 2.5 trillion ni nani, anaejenga chato international airport ni nani,anaetaka kujenga chato stadium ni nani, aliyempiga risasi tundu lissu ni nani,,aliye nyag,anya korosho wa wana mtwara ni nani. NAKUPA HOME WORK. CHUNGUZA UKIWEZA KUMJUA BASI HUYU MTU NDIO CHANZO CHA MATATIZO YOTE TULIYONAYO SASA
 
Sasa unaogopa kupoteza misaada, halafu hao unaotaka wakupe msaada bado unawadhihaki kwa kuwaita mabeberu!

Baniani mbaya kiatu chake dawa eh?
 
Mleta uzi umesahau kuweka namba ya simu maana najua unavizia teuzi serikalini awamu ya Tano ukimtukana Membe au Kinana uteuzi uko jirani yako
 
Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu hasa yale negative kuhusu utawala wa nchi ,hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ipo ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakihalibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,walihalibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.

Ni kweli kabisa, hakwami Magufuli bali ni sisi wananchi.....

Lakini kinyume chake ni kuwa, tunapokwama wananchi, hicho huwa ndicho chanzo kuwaondoa viongozi kwani huwa wame prove kushindwa kwao....!!

That is agenda behind
 
Kwani lipi rahisi kati ya Watanzania karibu milioni 30 mmoja mmoja kuacha kushangilia Mataifa ya Magharibi kumkosoa Magufuli kwa vitendo vinavyoumiza wananchi, au kwa mtu mmoja Magufuli kuacha vitendo hivyo ili mataifa ya magharibi yasiwe na mabaya ya kusema kuhusu Tanzania?

Kwanini hayo mataifa yasiwe na la kusema kuhusu Malawi, Zambia, Kenya, Botswana nk, yawe na la kusema kuhusu Tanzania?

Sasa wewe na Magufuli ndio mnalo la kujifunza hapa.
Nikwambie tu hii dunia ukiniga mirija ya waovu yatakuja kama haya yanayoletwa kwa Magufuli hiyo ni kanuni,ila huja kwa style ya haki za binadamu,kwa kua bado mdogo ,ukikua utaelewa maana
 
Back
Top Bottom