Ni upuuzi uliokithiri kuharibu sura ya Tanzania kimataifa kwa lengo la kumkomoa Rais Magufuli

Siyo kila ukweli lazima uuanike kwa majirani. Siku zote mwenye hekima huficha aibu yake.
Hata kwenye ndoa zetu, tunapishana, lkn kwa mwenye hekima hutamuona akikimbizana na mkewe ili ampe kichapo eti kwa kuwa yeye huwa hafichi makosa na hataki unafiki. Utakuwa wa ajabu sana, maana hata nyumbani mkigombana na mkeo wakija wageni mnasema poo, ugonvi unasitishwa na hata kama mlinuna mnaahirisha, ili wageni wasigundue kitu, na hiyo si unafiki, bali ni hekima.
Aksante.
Hong eraa sana ndugu mimi huwa najiuliza hivi ni lini watanzania wataonyesha na kuutumia utu wa na elimu? Yaani utakuta mtu na utu wake na Elimu yake anachoma nyumba ingawaje na yeye yu ndani ya nyumba hiyo.
 
Kwa hiyo udhalimu wote unaolalamikiwa na wale wanaolalamika ni UZUSHI tu ambao hauna ukweli wowote ule zaidi ya kumchafua bugirichato na Serikali yake ya kidhalimu.
😳😳😳

Nimekua nikifuatilia threads na comments mbalimbali za wadau,hasa wale mahasimu wa Rais Magufuli.

Sipendi kutumia neno beberu,ila acha nilitumie kwa leo.

Baadhi ya watanzania wakisikia matamko ya mabeberu hasa yale negative kuhusu utawala wa nchi ,hukenua meno na kushangilia kwa nguvu zote,wakiombea majanga yatokee.

Nchi ikikwama tumekwama wananchi,sio Magufuli,nchi ikikosa misaada wanaoathirika ni raia wa chini kimaisha.

Mnaoshangilia na kuombea nchi itengwe mlikwisha jiandaa?.,ndio maana mnavuruga kila uchao?

Nasikia wengine mmeandaliwa katika huu mkutano wa sadc muinue mabango yenu ili yamulikwe na wafadhili wa huu mchezo wenu ,kama ni kweli nyie ni wakuogopwa kama ukoma.

Tanzania ndio nchi yetu,hakuna pa kukimbilia mambo yakiharibika ,jifunzeni kwa baadhi ya nchi,waliharibu nchi zao kwa mikono yao na leo wanajuta,neno ningelijua huja baadae.
 
Hata kwenye ndoa siri huanikwa HADHARANI maji yakiwafika wanandoa shingoni. Hata humu kuna ushahidi wa kutosha tu.

Kwanini tuukumbatie na kuuficha udhalimu uliokithiri nchini wa Watanzania kubambikiwa kesi nzito, kutekwa, kuteswa, kupotea, kuuwawa na kudhulumiwa!?

Tuyafiche maovu nchini ILI IWEJE!? Yazidi kushamiri!? Kwa faida ya nani!? 😳😳😳

Siyo kila ukweli lazima uuanike kwa majirani. Siku zote mwenye hekima huficha aibu yake.
Hata kwenye ndoa zetu, tunapishana, lkn kwa mwenye hekima hutamuona akikimbizana na mkewe ili ampe kichapo eti kwa kuwa yeye huwa hafichi makosa na hataki unafiki. Utakuwa wa ajabu sana, maana hata nyumbani mkigombana na mkeo wakija wageni mnasema poo, ugonvi unasitishwa na hata kama mlinuna mnaahirisha, ili wageni wasigundue kitu, na hiyo si unafiki, bali ni hekima.
Aksante.
 
Fala ni mamako aliyekuzaa na kilema cha akili...!!
Kama akili yako haiwezi kutofautisha kati ya Mtu,Chama, Ilani, Sera na Katiba wewe ni sawa na zwazwa,zezeta na chizi tu usiyejua mbele wala nyuma! What goes around comes around. Hebu liambie jamvi hili huyo Magufuli wako anaposema ''CCM YA MAGUFULI au SERIKALI YA MAGUFULI NI YA VIWANDA ana maanisha nini au kitu gani hasa kwa Watanzania na dunia kwa ujumla wake? Please tell us.
Kichwa chako kimejaa utoko na kamasi,achana na mimi wewe ni msukule wahed
 
Leo wanatokea Wazalendo kumkosoa kwa vile amedandia SERA zisizo zake nao anawaambia wametumwa na MABEBERU...!!Utawala wa CCM ni janga katika nji hii mpaka hapo utakapofutiliwa mbali.....ni swala la muda tu.
Nimejua unapojichanganya mwenyewe.

Ungekuwa makini kidogo ungetambua kuwa wengi wa wanaokataa sio CCM tu, bali na huyo unayesema anatekeleza sera za CHADEMA hawakatai mazuri yanayotekelezwa, kama hiyo miundombinu. Wewe huko ndiko ulikojikita na kusahau kabisa mambo ya msingi kabisa yanayovurugwa. Mambo ya msingi kabisa ambayo yanakiukwa na kusababisha uzuri wa hiyo miundombinu usiwe na maana yoyote. Wewe hilo ndilo unalolikwepa na kudhani kila mtu atasahau umhimu wa haki na uhuru wake.

Kama unajaribu kujisahaulisha haya, basi nakukumbusha ili uyaweke katika kipimo chako cha huo uzalendo unaojitambulisha nao.

Sasa mnatafuta kuwauzia watu uzalendo kwa kuwajengea mavitu huku mkinyanyasa haki zao? Halafu mnadhani wataacha kuhoji?
 
Ma agent wa mabeberu wameshaahidiwa vinono they don't care kwa lolote litakalo tokea nchini hata ikiwa tufe woote kwao sio tatizo kabisa...
 
Back
Top Bottom