Ni upuuzi mkubwa kufikiria Nape na watu fulani kuhama CCM

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nimekuwa nikishangaa sana watu wanasema eti nape anafuatia kuhama CCM. hili nlishakataa toka zamani sana. nyie watanzania msidhani kuhama CCM ni kitu rahis rahis tu kama kuachana na msichana huyu na mkumdandia mwingine(Ashakum si matusi) ni process ndefu sana ambayo inabdi ujitathmin kuwa ukishahama utaishi vipi kuanzia hapo? je zile shughuli zako sasa zitaendaje?

Nape akihama CCM unadhan atakuwa anafanya nini Nje ya siasa za CCM? ataishi vipi? si rahisi kihivyo. Nape hawez hama CCM na haitatokea. na siku ikitokea ujue ndo mwisho wake kisiasa na kiuchumi. wewe ukimwangalia nape unadhani anaweza kufanya nini kingine zaidi ya kuwa mnafiki?msidhani kila mtu anaweza kuwa mnafiki au kutokuwa mnafiki. ukiamua kuishi kwa unafiki ndo yanakuwa maisha yako.

CCM wapo wengi wenye manung'uniko lakini kuna watu wachache sana wenye maamuzi ya kiume na wakabaki na maamuzi yao kwa maisha yao yote. mnayo mifano ya watu ambao waliamua kurudi CCM baada ya maisha kubana . akina Dr masumbuko, akina kabourou, akina mwigamba, akina kitila n.k

Kuna ambao walikuwa wanaonekana wazi kuwa ni ccm wakarudi na kuna ambao walikuwa ccm pasipo kujulikana na baadaye wakaamua kurudi ccm kwa kujulikana kwa kuwa sasa wanafahamika. Mwacheni Nape aendelee kuwa ccm kuwa upinzani HALISI ni sentenced to death. kama si leo kesho.
 
Kuwa nje ya CCM ni sawa na maiti iliyokosa pahali pa kuhifadhiwa!

Kwa taarifa yako kuwa ndani ya CCM ni sawa na mtu aliyekufa akaenda jehanamu ya moto...!!! Kama unafikri uko salama basi ujue kuwa uko kuzimu..unaungua kwa moto polepole kama jina la Katibu wako mwenezi...!!
 
Anaweza ila huu sio muda mwafaka kwake. Anaweza kuondoa baada ya kusoma ramani ya 2020 vizuri.
 
Kwa hiyo nyumbu mnatamani kumchokonoa Nape ajibu kuonyesha mwelekeo wa kuhamia mbuga zenu, baada ya kuona yupo kimya hajaungana na nyumbu wanaorudi mbuga za north...
 
Tuwapuzee kwa nguvu zote Akina Jerry Muro waliojivika ma roho ya hovyo ili kujipstia umasrufu
 
Hii habari ya huyu jamaa hainatofauti na zile hadithi zake za mapenzi
 
Kabisa mkuu.Njaa Njaa njaa njaa
Nape akiondoka atakula nini? atakula polisi?
Mwacheni tu kijana wa watu alishe familia watoto waende chooni
Wenyewe wakimkata huko atapambana na hali yake

Mkuu wapo watu ni wepesi kulalama wakiwa watazamaji lakini ukiwambia cheza basi hata dakika kumi wala hawathubutu.

Wako wengine wengi wakisema tudai haki fulani kwa maadamano hawajitokezi ila ni mabigwa wa kuchungulia kuna nini dalili ya woga.

Unafiki,na umbea ndio desturi za Tanzania,hivi Nape akimbilie Upinzani tarehe kama ya leo aache ubunge wake,na marupurupu yake eti kutengeneza bifu na Magufuli?
Kwanini watu wanafurahia watu wakimbie ajira zao au kazi zao wakati mimi na yule hatuwezi kumsaidia lolote?
 
Nimekuwa nikishangaa sana watu wanasema eti nape anafuatia kuhama CCM. hili nlishakataa toka zamani sana. nyie watanzania msidhani kuhama CCM ni kitu rahis rahis tu kama kuachana na msichana huyu na mkumdandia mwingine(Ashakum si matusi) ni process ndefu sana ambayo inabdi ujitathmin kuwa ukishahama utaishi vipi kuanzia hapo? je zile shughuli zako sasa zitaendaje?

Nape akihama CCM unadhan atakuwa anafanya nini Nje ya siasa za CCM? ataishi vipi? si rahisi kihivyo. Nape hawez hama CCM na haitatokea. na siku ikitokea ujue ndo mwisho wake kisiasa na kiuchumi. wewe ukimwangalia nape unadhani anaweza kufanya nini kingine zaidi ya kuwa mnafiki?msidhani kila mtu anaweza kuwa mnafiki au kutokuwa mnafiki. ukiamua kuishi kwa unafiki ndo yanakuwa maisha yako.

CCM wapo wengi wenye manung'uniko lakini kuna watu wachache sana wenye maamuzi ya kiume na wakabaki na maamuzi yao kwa maisha yao yote. mnayo mifano ya watu ambao waliamua kurudi CCM baada ya maisha kubana . akina Dr masumbuko, akina kabourou, akina mwigamba, akina kitila n.k

Kuna ambao walikuwa wanaonekana wazi kuwa ni ccm wakarudi na kuna ambao walikuwa ccm pasipo kujulikana na baadaye wakaamua kurudi ccm kwa kujulikana kwa kuwa sasa wanafahamika. Mwacheni Nape aendelee kuwa ccm kuwa upinzani HALISI ni sentenced to death. kama si leo kesho.
Tena ni ulofa na upumbavu kudhani kuwa makapi ya CCM yataiondoa CCM
 
Nape ni mwanasiasa anayetamaniwa na kila chama, siasa anaziweza hata 2015 mchango wake ccm haunakifan tatizo alianza kuvimba kichwa
Cdm hawalali usingizi mda wote wanamwombea Nape mabaya, kazi aliyoifanya si yakitoto

Kama fitna, propaganda na mbinu nyingine zote chafu zilizowamaliza wapinzan saluti apewe nape na kikosi chake.
 
Back
Top Bottom