Ni upuuzi au mbwembwe gani ulifanya wakati unamfukuzia/seduce/tongoza/court mwanamke

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Kama ambavyo kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na upuuzi/ mbwembwe nyingi mfano, kujidai wanapiga story kwenye vijiwe kadhaa, kupiga push up majukwaani, kula kwa mamantilie, kununua vitu gengeni/sokoni n.k yote hii ilikupata kura za wananchi. Vivyo hivyo na wanaume wakati wanamfukuzia msichana huwa na mbwembwe pia ili mradi ampate. Mara atamwimbia, mwingine kutuma hela kila mara, mwingine vocha n.k yaani atafanya vitu ambavyo mara nyingi ni out of the norm kwake ili tu a win the heart of the lady.

So wanaume ni mbwembwe gani ulifanya wakati unamfukuzia/seduce mwanamke? Je ulifanikiwa kumpata... Wanawake, mbwembwe gani alishawaionyesha mwanaume wakati anakufukuzia?
 
Mi hakuna jipya nalotumia ila ni maneno mengi na matamu ya mkushawishi labda na tusms twa hapa na pale na call nyingi kumsfia ana sauti tamu ua kumtoa nyoka pangoni na huwa nawatapa.
 
mimi zilikuwa hizi...
1.vp kifurushi kimeisha nikuungie...
2.unatumia juice gani nikuletee...
3.majina mengi yasiyo halisi..
nilipokuwa chuo zilikuwa hizi..
weekend njoo nikufundishe kompyuta...
umekula wewe? akisema hajala najifanya nambembeleza ale...

na mengine mengi jamani nimefanya ujinga mwingi daah huwa nacheka tu nikikumbuka ...
cha ajabu sijui wapo wapi wote hao
 
Enzi nasoma A'level nimewahi kumcheza demu mmoja cinema la kikabachori sterling Sunny Deol kabangi na Sunjay Dutt.

Huyu manzi alikuwa ananiona mhuni mvuta bangi kisa company yangu. Cinema nililomchezea alijikuta kajaa kingi kwa mhuni bila kutegemea na akalowea kabisa.

Ningelieleza hapa ila nahisi hilo sinema linahitaji kufunguliwa uzi kabisa.

JF ingekuwa na voice note ingekuwa rahisi zaidi.
 
Si uliwala lakin ?
 
Umeona eeeh hivi wawezi. Kuweka kipengere cha kuweka voice jmn tunateseka mda Mwingine kuandika maelezo marefu ni mtihani watu tunatamani kutiririka mambo kibai ila kutype kunakuwa kikwazo sana
 
Enzi nasoma A'level nimewahi kumcheza demu mmoja cinema la kikabachori sterling Sunny Deol kabangi na Sunjay Dutt.

Huyu manzi alikuwa ananiona mhuni mvuta bangi kisa company yangu. Cinema nililomchezea alijikuta kajaa kingi kwa mhuni bila kutegemea na akalowea kabisa.

Ningelieleza hapa ila nahisi hilo sinema linahitaji kufunguliwa uzi kabisa.

JF ingekuwa na voice note ingekuwa rahisi zaidi.
Mbna yangu ina voice noti ...

Au noti zipi unaziongelea wewe hizi dola au tsh
 
mimi zilikuwa hizi...
1.vp kifurushi kimeisha nikuungie...
2.unatumia juice gani nikuletee...
3.majina mengi yasiyo halisi..
nilipokuwa chuo zilikuwa hizi..
weekend njoo nikufundishe kompyuta...
umekula wewe? akisema hajala najifanya nambembeleza ale...

na mengine mengi jamani nimefanya ujinga mwingi daah huwa nacheka tu nikikumbuka ...
cha ajabu sijui wapo wapi wote hao
We umetongoza juzi tu enzi za vifurushi!!!??? Bado hujawa muhenga.
 
Mimi nimewahi kumpa tsh. Mia moja ile ya noti afu nilikuwa nimetumwa nayo kwenda kukoboa na kusaga, kisha nipitie na mboga sokoni na chenji irudi kwa ajili ya matumizi mengine.

Nikarudi home bila unga nilitembezewa kichapo hadi Leo namkumbushaga mama.
 
Back
Top Bottom