Ushasema mtoto.Kwahiy mkuu unatak kuniambia ushawah ona mtot wa miak 15 akimilik mjengo?
Watakuwepo huko majuu.Kwahiy mkuu unatak kuniambia ushawah ona mtot wa miak 15 akimilik mjengo?
Kwahiy mkuu unatak kuniambia ushawah ona mtot wa miak 15 akimilik mjengo?
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuumaView attachment 1794461
Ndugai kaanza kumiliki nyumba mwaka 2015 baada ya kumcharaza bakora za kichwa yule mpinzani mwanaccm mwenzake kwenye kikao cha ndani cha chama. Kabla ya hapo alikuwa anaishi kwenye kibanda cha nyasi pale kongwa. Sasa hivi ni miaka 6 anamiliki nyumba siyo chini ya 200+, petrol stations za kutosha, lodge za kutosha, bar, pubs, nk.Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuumaView attachment 1794461
Haya afande bhanaNdugai kaanza kumiliki nyumba mwaka 2015 baada ya kumcharaza bakora za kichwa yule mpinzani mwanaccm mwenzake kwenye kikao cha ndani cha chama. Kabla ya hapo alikuwa anaishi kwenye kibanda cha nyasi pale kongwa. Sasa hivi ni miaka 6 anamiliki nyumba siyo chini ya 200+, petrol stations za kutosha, lodge za kutosha, bar, pubs, nk.
Umri sahihi wa kumiliki nyumba ni pale ukishakuwa fisadi, au nasema uongo ndugu zangu Wangari Maathai , Babati , Mmawia , na Bujibuji ?