Ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki Nyumba?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
618
1,000
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuuma
JamiiForums617642742.jpg
 
lckelvin

Member
Sep 8, 2018
48
125
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuuma View attachment 1794461

Kwa namna ulivyouliza hili swali,sidhan kama unastahili kujibiwa,kama wewe ni mtu mzima na unaejielewa,iwaje unauliza swali la kijinga kama hili.Jibu n kwamba hapana huwezi kumiliki kama hizi ni fikra ulzonazo kwamba unawazia kuna umri sahihi wa kumiliki kitu flani
 
Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
440
1,000
Jambo kama Hilo usiatarajie kupata muongozo unaozingatia mtizamo wako kwa sababu hio ni ndoto ya walio wengi kumiliki mjengo wako binafsi, sasa ukiwa na hela kiasi wewe usisubiri mtu akuambie fanya hiki au vile, Wewe fanya tu maana ni kwa faida yako. Ukisubiri uambiwè hio hela hutajua hata uliitumia tumia aje,
 
Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
618
1,000
Sasa inakuwaje vile kkuta watu wanashangaa " bwana mdogo yule anamiliki jengo lile?" Ikiwa hakuna umri sahihi wa kumiliki mjengo
 
Afande Tanzania

JF-Expert Member
May 3, 2020
460
1,000
Habari zenu jf, wadau hivi ni upi umri sahihi kabisa wa mtu kuanza kumiliki mjengo (nyumba) naomben msaada wa hili swali maana wenda kidog akili yang ikatulia na kichwa kikapunguza kuuma View attachment 1794461
Ndugai kaanza kumiliki nyumba mwaka 2015 baada ya kumcharaza bakora za kichwa yule mpinzani mwanaccm mwenzake kwenye kikao cha ndani cha chama. Kabla ya hapo alikuwa anaishi kwenye kibanda cha nyasi pale kongwa. Sasa hivi ni miaka 6 anamiliki nyumba siyo chini ya 200+, petrol stations za kutosha, lodge za kutosha, bar, pubs, nk.

Umri sahihi wa kumiliki nyumba ni pale ukishakuwa fisadi, au nasema uongo ndugu zangu Wangari Maathai , Babati , Mmawia , na Bujibuji ?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,613
2,000

Haya afande bhana
 
Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
321
500
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)

Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!
20210529_124307.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom