Ni upi ukweli kuhusu mikosi na nuksi ?

Kisai

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
27,984
28,102
Matamko haya mawili yamekuwa maarufu vinywani mwetu na masikioni. Popote yanapotamkwa matamko mawili haya huwa yanahusishwa na jambo fulani au hali fulani kutokea baada ya jambo fulni au hali fulani.

Je matamko haya yana ukweli wowote kama yanavyoeleweka au kuelezewa huku mitaani ?

Je ni nini maana ya mikosi na ni wapi asili ya tamko hili ?

Je ni nini maana ya nuksi na ni wapi asili ya tamko hili ?

Je kuna tofauti gani kati ya mikosi na nuksi ?
 
Hizo vitu zipo kwenye fikra tu.
We Jidanganye tu..

Ngoja nikupe mfano wa kuamsha udadisi

Ivi katika maisha yako hujawahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza

Akiwa hajakutendea Jema wala baya lakini ukahisi kuchukizwa nae !

Na ukakutana na mwengine vilevile hajatenda jema wala baya lolote lile kwako lakini _ukapendezwa nae

Unaweza kujua sababu ya muelekeo wa namna hiyo.?
 
Chuki,furaha na upendo ni matokeo ya fikra.
 
Chuki,furaha na upendo ni matokeo ya fikra.
Sawa...kwani nani kakataa.!?

ila leo mdau kataka kuzumzia juu mikosi na nuksi a.k.a Gundu.. sijui unaelewa.?

Si vitu avifikiriavyo mtu

Bali ni matokeo ya matendo/majambo yaliyowahi kumsibu mtu ndio hutengeneza misamiati hiyo

Hivyo tunatengeneza vichocheo vya udadisi kulingana na muktadha
 
Ninachoamini ni kuwa, binadamu ana nafsi ambayo ina jumuisha akili,hisia na maamuzi.
Fikra na mawazo(conscious) yetu ndio sababu ya kila hali au kitu.
Mikosi,laana na nuksi ni matokeo ya fikra zetu kukubali hizo Hali, so nafsi zetu kwenye sehemu ya maamuzi (will) ndio in a accept.
Ikishakubali hizo Hali zinaenda kudwell kwenye subconscious mind.
 
We Jidanganye tu..

Ngoja nikupe mfano wa kuamsha udadisi

Ivi katika maisha yako hujawahi kukutana na mtu kwa mara ya kwanza

Akiwa hajakutendea Jema wala baya lakini ukahisi kuchukizwa nae !

Na ukakutana na mwengine vilevile hajatenda jema wala baya lolote lile kwako lakini _ukapendezwa nae

Unaweza kujua sababu ya muelekeo wa namna hiyo.?
Izo vitu vote kupendezwa au kuchukizwa hutangulizwa na hisia tu mkuu. Na hisia zote hutokana na jinsi tunavyofikiri ..jaribu kutafakari
 
Kwani vya kiroho havijatengenezwa na binadamu? Vipo vitabu vinakusaidia kujitambua mkuu. Acha kuwa mfia dini
Daah !! mkuu si nimesema vinatengenezwa na binadamu mwenyewe kupitia mambo ya kiroho ?au hujanielewa ? hasira, visasi, ulozi, wivu, n.k . hujui hivyo ni vitu vya kiroho zaidi ? halafu Mimi sio mfia dini hapa nilipo nina jibapa, najidunga tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom