Ni upi ujumbe wa mchoraji huyu??

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
mchoraji noma.jpg

huu ni mchoro unaoonekana katika moja ya junctions mkoani arusha,hivi huyu mchoraji alitaka kutoa ujumbe gani?
 
Kwamba jamaa ni mtalii,si unajua mtalii hakosi kamera
 
mbona imekaa vibaya umenikosesha uondo.
ila kama ni naniiiiiiiiiii na naniiiiiiiiiiiiiiiiiii vile akiwa naniiiiiiiii anataliii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom