Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,372
Habarini wakuu...
Siku zote nimekuwa niki'export video kwenye Adobe premier kwa kuchagua moja ya presets ambazo zimewekwa. Ila leo nikawa mdadisi kidogo kujaribu kucheza na baadhi ya settings ndipo nilipokutana na hii kitu inaitwa bitrate.
Kuna kitu nilikiona kikanifanya nichukue uamuzi wa kuuliza ili nipate elimu kuhusu uhusiano wa bitrate na ubora wa video. Jambo pekee nililoliona ni kuwa ukiweka bitrate kubwa na video file linakuwa kubwa (MB/GB kuwa nyingi and vice versa).
Sasa nataka kujua ni upi uhusiano wa bitrate na ubora wa video? Kwa mfano niki-export video yenye resolution ya 4K ikiwa na 3.2Mbps, video hii itaathirikaje katika ubora?