Ni upi mchango wa wahindi(wadosi) Tanzania?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Ziara ya indian officials hapa Tanzania ni wasaa muafaka wa kutafakari umuhimu na uwajibikaji wa jamii ya kihindi hapa Tanzania.
Je kuna tija yoyote?
 
Mchango wao upo kwenye bishara kama za EPA,Richmond,na ujanja ujanja mwingine wa deal feki
 
wapo kama wanyonyaji humu nchini-wanaiba,wanatafuta na kwenda ku-invest kwao-wengi wao hawataki hata kushirikiana na wenyewe,
naamini asilimia kubwa ya wanaoishi humu nchini hata kama ashaishi tz zaid ya miaka 5,utakuta hajui hata kiswahili
 
Je tuwasifie kwa kuwatibu ndugu zetu kule Apollo?au tuwatimue kwa kujihusisha na ufisadi kama vile RITES,Rada,EPA n.k
 
Mabasi yao ya kuwapeleka watoto wao shule yameandikwa (hapa Dar) 'INDIAN SCHOOL BUS'
 
Indians ndio waliolifikisha Taifa ili hapa lilipo,walinunua viwanda vyetu wakakopea pesa kwenye mabenki na kuingia mitini na kutelekeza viwanda
 
wanakwepa kodi usipime. Niliagizwa kwa mama wa kihindi anayetengeneza keki za occasions. Hakuni kibao nje wala lolote linaloashiria kuwepo biashara hapo. Ndani nilikuta wateja zaidi ya 10 wamekuja kuchukua keki. Nilijiuliza kama kweli analipa kodi.
 
Je tuwasifie kwa kuwatibu ndugu zetu kule Apollo?au tuwatimue kwa kujihusisha na ufisadi kama vile RITES,Rada,EPA n.k
Pia huyo mwenye kampuni inaitwa METL amenunua hekta nyingi sana za mashamba ya mkonge Tanga kwa bei chee ili ayaendeleze badala yake ametumia hati za mashamba hayo kuchukulia mabilioni ya mkopo benki za ulaya na kuacha mashamba hayo kama rehani..huu si unyonyaji jamani
 
ukweli ni kwamba hawa sio rafiki wazuri kwa Tanzania,ni wanyonyaji na wabaguzi!
 
wahindi hawana nia njema na taifa letu. kampuni zinaongoza kutoa maslah duni kwa wazalendo na kukwepa kodi.
 
mchango wao mkubwa ni kufanya copy cd za wasanii wa kibongo na kutuuzia wenyewe alafu pia ni kuish kwny national house katkat ya mji ili iwe rahisi kutuibia na kuzaliana japo kwa sasa wachina wanazidi. Na mchango wao mkubwa ni kutufundisha kubaguana sisi kwa sisi na uchawi kwny biashara
 
wapo kama wanyonyaji humu nchini-wanaiba,wanatafuta na kwenda ku-invest kwao-wengi wao hawataki hata kushirikiana na wenyewe,
naamini asilimia kubwa ya wanaoishi humu nchini hata kama ashaishi tz zaid ya miaka 5,utakuta hajui hata kiswahili

kuna waliozaliwa na kukulia bongo lakini still kiswahili hawaongei, akianza kuongea kiswahili ni kituko.:biggrin1:
 
Jinsi maoni yanavyokwenda humu Inaonekana kila kitu kinachomhusu mhindi bongo ni kibaya,Mganda mmoja aliniambia anamshukuru amin kuwafukuza wahindi lakini tuache ubaguzi, na wahindi lazima wajirekebishe.
 
Iddi amini aliwafukuza uganda lakini nasikia sasa hivi museveni anawarudisha.Hivi i walitaka kukata msitu wa kibira eti kupanda miwa , wazalendo walikasirika, wakashambulia maduka yao ilibidi waitishe mpango huo.
 
Ni watu wabaya sana kwa watanzania, ndiwo wanaohusika ktk mambo yote ya wizi wa pesa za nchi yetu, wakishirikiana na vibaraka wachache, hawawekezi chochote kwa kutumia mitaji yao. ni wabaguzi wakubwa na wanafiki.naomba raisi yeyote atakayekuja alipe kisasi kwao. ni lazima ufanyike uchunguzi wa kweli juu ya uhalali wa wao kuishi tanzania.TIMUA KABISA.
 
Hivi ndugu yangu upo serious..yaani hujui wahindi ndio wanaoshikilia uchumi wa nchi yetu .. wazawa tumechelewa kujikwamua na kuwaacha wanafanya wanavyotaka.. Wamenunua serikali yote pamoja na raia wake..wameingiza rushwa ile babu kubwa ..sio zile rushwa za njaa za kina traffic.. zile Rushwa ambazo waswahili wa sasa wanasema ufisadi.. wameua nchi kwani wao wana uraia wa ya nchi tatu..India..Canada..etc halafu mwisho Tanzania..hawa wako Tanzania mguu ndani na pia mguu nchi ..Wahindi ni sawa na mpenzi wako alinayekupa maneno motomoto ya mapenzi lakini yuko pale kwa ajili ya kula pesa yako tu na pia anaweza kukuua muda wowote.. Kalagabaho!
 
Back
Top Bottom