Ni uongo gani uliwahi kusingiziwa na ukakugharimu sana japo haikua kweli?

Dah sitaki hata kukumbuka hilo tulio ila nililipa kwa kumpa kilema cha maisha
Pole sana mkuu..

Kuna jambo miaka kadhaa imepita nilisingiziwa na mke wa baba yangu mdogo, aisee bamdogo yule anilipiga sana kama vile anapiga jambazi sugu lililoisumbua serikali miaka mingi (bamdogo ni inspector jeshi la polisi moja ya jiji hapa nchini). Nilipata kipigo ambacho sitakuja kusahau maisha yangu yote ni Mungu alinitetea make nadhani angekuaga na mguu wa kuku ndichi angenipoteza kwenye uso wa dunia..

Ninavyosema Mungu alinitetea na alikua upande wangu ni kwamba baada ya kipigo cha umbwa koko kitu nilichosingiziwa na yule shetani mwanamke wa kichaga kwamba nimekichukua bamdogo alikuja kukiona kipo ndani chumbani mwake kwenye moja ya library zake za picha daah aliona aibu na mkewe. Ila niliapa mbele yake mimi na yeye undugu ufe tu hakuna hasara atakayopata wala mimi sipati hasara, navyoandika hapa tuna miaka 7-8 hatuna ukaribu wa aina yoyote ile na huyo jamaa wala kizazi chake..

Alinidharirisha sana mbele ya jamii inayonizunguka mpaka utupu wangu ulikua kama maonesho kwa wananzengo kwa maneno ya kuambiwa na yule mkewe bila kufanya uchunguzi wa kina kwanza kabla ya kunipa adhabu. Pia nakumbuka aliwahi toa kauli chafu kwamba mimi ntakuja kua jambazi ambae ni most wanted na jeshi lake na sitafaulu shule ngazi zote asilani. Vyote Mungu alitengua na navyoskia yule jamaa kila matokeo yalipokua yakitoka ya academic alikua anaulizia akiambiwa nimefaulu basi aibu inamjaa tu.

Bladfakeni kabisa popote ulipo.
 
Hahaha mkuu inawezekana kipigo chake ndo kilikupa hasira ya maisha ....msamehe mkuuu
 
Kurarareeee
 
kipindi naanza shule ya msingi yaani standard one,nilikuwa naongozana na wanafunzi wakubwa kwenda shule ilipo,ikizingatiwa mimi ni mdogo so akachaguliwa mdada mmoja akawa ananipitia pale kwa mlezi wangu tunanyoosha shule.

sikumbuki ni ugonjwa gani niliamka nao siku ile,ila niliamka nimepoteza nguvu kuanzia kiunoni kushuka chini(sio kupooza)yaani nimepoteza pulling kama uume unaokataa kusimama mpaka mwisho,yaani nikisimama natetemeka mpaka naanguka chini,nikiinuka tena nikiambiwa kimbia naruka hatua mbili tatu,tena chaaali.

basi ikabidi antie aanze kuongea na mimi sasa ananishutumu,maana kampani yangu kwakweli haikuwa ya ninao soma nao,bali watoto tu wa mtaani,nazurula nao nawinda ndege nk.
sasa ikaonekana jana yake huwenda nilipata majanga huko mitaani ila sikusema,aisee nilipigwa fimbo siku hiyo,ananambia sema ukweli nikuache laa nitakuumiza mimi,ikabidi sasa niseme anachotaka,nikamwambia jana nilikuwa na fulani na fulani,wakati napanda ktk mti wa machenza nikaanguka,akaitwa mmoja wa niliowataja,akaruka kimangakwamba hata jana hatukuwa wote,kifinyo kikaanza upya,kumbuka kwamba namimi niko kwenye hamaki maana sijui naumwa nini ghafla,naogopa pia.ntaendaje shule kusoma kama hali ule haitatengemaa!!!!!nidufuliwa vilivyo.

baadae yakachemshwa maji ya moto,nikaanza kukandwa,kiunoni kushuka,naungua lakini siwezi kusema kitu maana itakuwa balaa.
mungu saidia jioni ikaanza ahueni,baada ya siku kama mbili ile hali ikapotea.

mpaka leo,sipigi mtoto aliyepata majanga,maana sijui inawezekana si kwa ajiri ya utundu wake.
 
Pole sana mkuu..

Kuna jambo miaka kadhaa imepita nilisingiziwa na mke wa baba yangu mdogo, aisee bamdogo yule anilipiga sana kama vile anapiga jambazi sugu lililoisumbua serikali miaka mingi (bamdogo ni inspector jeshi la polisi moja ya jiji hapa nchini). Nilipata kipigo ambacho sitakuja kusahau maisha yangu yote ni Mungu alinitetea make nadhani angekuaga na mguu wa kuku ndichi angenipoteza kwenye uso wa dunia..

Ninavyosema Mungu alinitetea na alikua upande wangu ni kwamba baada ya kipigo cha umbwa koko kitu nilichosingiziwa na yule shetani mwanamke wa kichaga kwamba nimekichukua bamdogo alikuja kukiona kipo ndani chumbani mwake kwenye moja ya library zake za picha daah aliona aibu na mkewe. Ila niliapa mbele yake mimi na yeye undugu ufe tu hakuna hasara atakayopata wala mimi sipati hasara, navyoandika hapa tuna miaka 7-8 hatuna ukaribu wa aina yoyote ile na huyo jamaa wala kizazi chake..

Alinidharirisha sana mbele ya jamii inayonizunguka mpaka utupu wangu ulikua kama maonesho kwa wananzengo kwa maneno ya kuambiwa na yule mkewe bila kufanya uchunguzi wa kina kwanza kabla ya kunipa adhabu. Pia nakumbuka aliwahi toa kauli chafu kwamba mimi ntakuja kua jambazi ambae ni most wanted na jeshi lake na sitafaulu shule ngazi zote asilani. Vyote Mungu alitengua na navyoskia yule jamaa kila matokeo yalipokua yakitoka ya academic alikua anaulizia akiambiwa nimefaulu basi aibu inamjaa tu.

Bladfakeni kabisa popote ulipo.
Haya mambo yanaumiza sana Mkuu,mi tokea miaka hiyo mpk leo sijawai tena kumuongea habari za baba na mama siku tu aliongea kitu nikakumbuka na nikamkumbusha alilia sana,na akaomba msamaha.
Baba alishafariki
Mama yupo.
Swali langu,nshapigwa viboko lukuki shule,we unapeleka barua home why?
Mi napigwa pale na Faza uwezo kunitetea huna.
Nilihama ile Nyumba nikapotea siku kadhaa hivi.
Tokea hapo hatukuwai kuongea tena na Baba mpaka anakufa.
 
Back
Top Bottom