Ni unafiki kumsifia JK hata anapoharibu - Shyrose amwambia Chiligati

Wana Jf alichokisema Shyrose si jambo la Kubeza,mimi Binafsi Ni Mwana CCM JK anaendasha Nchi kwa Matukio Toka ameingia madarakani nchi yetu imekua ikiendeshwa si kwa kuangalia matatizo yanayokabili Taifa wananchi wake Jamaa huyu ametumia style ya Kutufanya busy tukijadili na Kulumbana juu ya mambo yasiyokuwa na TIJA.

Toka mwaka 2008 nitaorodhesha chini hapa Matukio ambayo kama Taifa tumetumia muda mwingi huku yeye akienda kutembea ulaya na kutupatia ahadi na kauli mbiu ambazo hazitusaidii.

2005 aliingia na MOVIE inaitwa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Kuleta mabilioni ya JK.No impact to the economy and Common Wananchi.

2007/2008.Akaleta sinema inaitwa Kupambana na Rushwa na Matumizi Mabaya ya Madaraka Tukasikia EPA ambayo ilimuingiza yeye madarakani,Tukasikia kina Mramba,Kina Mgonja,Kina LIUMBA wakifunguliwa kesi mpaka leo zinaendelea na liumba yupo jela.

Tukaletewa Movie ingine RICHMOND na ili aendelee kupatta Umaarufu akamtosa waziri Mkuu wake akidai hajui RICHMOND wakati ilikuwa CABINET decission.

Tumeimba Richmond,Lowasa weeeeeeee yeye anaendelea kupeta wananchi tukasahau kuhoji mambo ya msingi ya nchi yetu tukawa Bar,Majumbani,ktk Madaldala,Mashuleni,Hospitalini,Na kila sehemu mjadala ni huo huo.

Akatutengenezea Sinema Inaitwa TINDI KALI la KUBENEA katumia Idara yake ya Usalama wakachukua Tindikali wakchakachua kamwagiwa Kubenea Nchi nzima tukahamia hiyo sinema kesi akamuuzia Lowasa tukawa busy na hilo hamna kujadili maendeleo.

2010 ukawa mwaka wa uchaguzi hapo kavuka Term ya kwanza salama kwa kutugawa kama Taifa na ndani ya Chama chake akawagawa wananchama wake wakawa Makundi yakipambana yeye anakula kuku Ikulu leo Serengeti kesho marekani.

2011,Zikaanza movie zingine BABU WA KIKOMBE loliondo,tukawa busy na babu nchi nzima hatuhoji maendeleo.

Mara Movie Ingine GAMBA limetuchukua muda Muda Mrefu tukaletewa Stering anaitwa Nape hapa nchi nzima ikawa Sinema ya magamba weeeeeeeee hatujadili maendeleo.

Ikawepo pia Muda tunajadili DOWANS ilipwe isilipwe nchi nzima mjadala ni huo hakuna kujadili maendeleo.

Mnaweza kuongezea matukio,Nchi ikageuka Nchi ya matukio na kujadili matukio kila kukicha jamaa anatengeneza tukio kumsaidia kusogeza siku bila kujali wananchi maisha yao yako vipi uchumi unahali gani.

Matokeo yake.

Leo Shilingi Inaporomoka.

Bei ya Sukari kwetu Bkb ni 2900

Chumvi aloacha Mkapa Tsh 50kifuko kidogo leo Tsh 500.

Umeme Haupatikani

Mafuta shida Tupo kumbe CCM ina share OILCOM

Bei ya Vyakula imepanda kwa asilimia 100

Uchumi wa Nchi unayumba

Dola leo 1640

Mafuta ya Taa leo 2000

Mpaka ameacha Reserve za kutosha leo hatuna Reserve hata ya kutumia miezi Mitatu.

Mkapa ameacha makusanyo ya Ndani ni bn 250 na dola ikiwa Tsh 1100 leo makusanyo ni bn 400 wakati Dola ni 1600.

Mfumuko wa Bei umeongezeka mpaka wamebadili Formula.

Wana Jf jamaa ametuendesha kisanii Tazama lack of Seriousness Mramba na Mgonja wapo mahakamani kutokana na makosa yaliyotokana na sheria mbovu ambayo inampa mamlaka waziri kusamehe kodi yoyte yule kosa ambalo leo anaweza kulifanya mkulo hatujasikia sheria hiyo ikibadilishwa.

Richmond hatuna sheria inayo simamia swala la Dharura na kutokana na makosa hayo leo tunaweza kurudia kosa lile lile.

Tazama usanii leo wameleta Mitambo ya Megawati zaidi ya 200 inatumia Mafuta kama IPTL wakati huo huo IPTL wanashindwa kuzalisha megawati 100 kwa ukosefu wa mafuna na mwaka 2008 waliweka mitambo ya Megawati 60 kule mwanza ya Mafuta wakashindwa kupeleka mafuta tukalipa Capacity charge kwa Alstrom kipindi chote cha Mkataba mpaka jamaa walipoondoka,leo Tena Aggreco kapewa Tenda hiyo hiyo apeleke Mtambo wa Mafuta mwanza sijui kipi kimebadilika leo tuweze kupeleka Mafuta hayo mwz ambapo mwanzo tulishindwa.

Sasahivi nchi inaongozwa kwa Msingi wa Majungu ole wako ugombane na Ridhwani waulize Bashe na Masauni watakueleza,leo mtoto anafanya Dili zote kuanzia kusafisha Vyoo Mpaka kusafirisha Madini,

Usipomuona Rizy ktk Dili utamuona 2nd First lady Alkhuroos Rahma kaibuka hapa mara Pale ,Kampeni za CCM zilitengwa Bilioni 6 kwa ajili ya Familia Ccm kina makamba wakawa wanapiga kelele hapa hapa Dar,chama kimekufa Nchi iko HOI jamaa anaongea Ngonjera Mara nitajenga viwanja vya Ndege,Mara Meli,Mara mnataka Ngeleja abebe Maji kwenye ndo apeleke Mtera?mara matatizo mwl Nyerere alishindwa hata mm siyawezi.

Katufanya watu wa Matukio kuanzia ktk chama mpaka serekalini 2015 ifike aondoke sana Tupo anajisifia shule za kata wazee wetu waliuza kuku,mbuzi,mazao kila kitu wao wameshindwa kuleta waalimu inaudhi basi tu.

Ongezeeni matukio mengine.Kila jambo Inaundwa tume ,ichunguze sasa wanataka kuchukua na UDA yetu .

Umemaliza kila kitu, sina cha kuongeza nasubiri nionyeshwe Taharir square ya Tanzania ikowapi nilianzishe.

sawa kanena je hatua za kujirekebisha zitafuatwa au ni mbwembwe tu za kujitafutia like fb na kwenye mitandao ya kijamii, alipaswa kumuambia mbele yake na vile vile ampe ukweli vasco da gama kuwa anaboa nasio kuishia kwenye mtandao ambao anaweza kujifanya hajaona..

angalizo..

hapa utasikia shyrose anaambiwa anakisaliti chama na anajipendekeza kwa wapinzani subirini muone kinacho fuata. na pia asisahau kumwambia na kaka nape naye kuhusu lalamiko hilo..

C.C.M ni chama ambacho knapokea changamoto na hakiwez kumwambia kuwa anasaliti ingekua chadema sawa c unaona ya zito na shbuda!

Mkuu hapo kwenye RED! Huyu mdada kwa kuweza kutoa hayo mawazo mbele ya Jamii bila kujificha kama wengi wafanyavyo nathubutu kusema kalifanyia taifa makubwa kwa sababu uende wana-ccm wakaamka na kutuondolea matatizo ya taifa letu!

Tatizo kwa wengi wa watanzania ni kudhani marais, mawazi, makatibu wakuu n.k ndiyo wanalitendea taifa hili mambo mema na ya kukumbukwa! Huu ni mtazamo potofu kabisa!!!!!!!!!!!!

Unaelewa watekelezaji wa sera na watatuzi wa shida za wananchi? Mfano; Mikataba mibovu kama Richmond, Dowans, Symbion, Agrekko, Buzwagi, Buly, GGM, UDA, KIA, RITES, ATCL usafirishaji wa wanyama nje nk inafanywa na wananchi au Serikali kwa maana ya Baraza la Mawaziri?

Akili yako bado ina magamba nini?

Wana Jf alichokisema Shyrose si jambo la Kubeza,mimi Binafsi Ni Mwana CCM JK anaendasha Nchi kwa Matukio Toka ameingia madarakani nchi yetu imekua ikiendeshwa si kwa kuangalia matatizo yanayokabili Taifa wananchi wake Jamaa huyu ametumia style ya Kutufanya busy tukijadili na Kulumbana juu ya mambo yasiyokuwa na TIJA.

Toka mwaka 2008 nitaorodhesha chini hapa Matukio ambayo kama Taifa tumetumia muda mwingi huku yeye akienda kutembea ulaya na kutupatia ahadi na kauli mbiu ambazo hazitusaidii.

2005 aliingia na MOVIE inaitwa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Kuleta mabilioni ya JK.No impact to the economy and Common Wananchi.

2007/2008.Akaleta sinema inaitwa Kupambana na Rushwa na Matumizi Mabaya ya Madaraka Tukasikia EPA ambayo ilimuingiza yeye madarakani,Tukasikia kina Mramba,Kina Mgonja,Kina LIUMBA wakifunguliwa kesi mpaka leo zinaendelea na liumba yupo jela.

Tukaletewa Movie ingine RICHMOND na ili aendelee kupatta Umaarufu akamtosa waziri Mkuu wake akidai hajui RICHMOND wakati ilikuwa CABINET decission.

Tumeimba Richmond,Lowasa weeeeeeee yeye anaendelea kupeta wananchi tukasahau kuhoji mambo ya msingi ya nchi yetu tukawa Bar,Majumbani,ktk Madaldala,Mashuleni,Hospitalini,Na kila sehemu mjadala ni huo huo.

Akatutengenezea Sinema Inaitwa TINDI KALI la KUBENEA katumia Idara yake ya Usalama wakachukua Tindikali wakchakachua kamwagiwa Kubenea Nchi nzima tukahamia hiyo sinema kesi akamuuzia Lowasa tukawa busy na hilo hamna kujadili maendeleo.

2010 ukawa mwaka wa uchaguzi hapo kavuka Term ya kwanza salama kwa kutugawa kama Taifa na ndani ya Chama chake akawagawa wananchama wake wakawa Makundi yakipambana yeye anakula kuku Ikulu leo Serengeti kesho marekani.

2011,Zikaanza movie zingine BABU WA KIKOMBE loliondo,tukawa busy na babu nchi nzima hatuhoji maendeleo.

Mara Movie Ingine GAMBA limetuchukua muda Muda Mrefu tukaletewa Stering anaitwa Nape hapa nchi nzima ikawa Sinema ya magamba weeeeeeeee hatujadili maendeleo.

Ikawepo pia Muda tunajadili DOWANS ilipwe isilipwe nchi nzima mjadala ni huo hakuna kujadili maendeleo.

Mnaweza kuongezea matukio,Nchi ikageuka Nchi ya matukio na kujadili matukio kila kukicha jamaa anatengeneza tukio kumsaidia kusogeza siku bila kujali wananchi maisha yao yako vipi uchumi unahali gani.

Matokeo yake.

Leo Shilingi Inaporomoka.

Bei ya Sukari kwetu Bkb ni 2900

Chumvi aloacha Mkapa Tsh 50kifuko kidogo leo Tsh 500.

Umeme Haupatikani

Mafuta shida Tupo kumbe CCM ina share OILCOM

Bei ya Vyakula imepanda kwa asilimia 100

Uchumi wa Nchi unayumba

Dola leo 1640

Mafuta ya Taa leo 2000

Mpaka ameacha Reserve za kutosha leo hatuna Reserve hata ya kutumia miezi Mitatu.

Mkapa ameacha makusanyo ya Ndani ni bn 250 na dola ikiwa Tsh 1100 leo makusanyo ni bn 400 wakati Dola ni 1600.

Mfumuko wa Bei umeongezeka mpaka wamebadili Formula.

Wana Jf jamaa ametuendesha kisanii Tazama lack of Seriousness Mramba na Mgonja wapo mahakamani kutokana na makosa yaliyotokana na sheria mbovu ambayo inampa mamlaka waziri kusamehe kodi yoyte yule kosa ambalo leo anaweza kulifanya mkulo hatujasikia sheria hiyo ikibadilishwa.

Richmond hatuna sheria inayo simamia swala la Dharura na kutokana na makosa hayo leo tunaweza kurudia kosa lile lile.

Tazama usanii leo wameleta Mitambo ya Megawati zaidi ya 200 inatumia Mafuta kama IPTL wakati huo huo IPTL wanashindwa kuzalisha megawati 100 kwa ukosefu wa mafuna na mwaka 2008 waliweka mitambo ya Megawati 60 kule mwanza ya Mafuta wakashindwa kupeleka mafuta tukalipa Capacity charge kwa Alstrom kipindi chote cha Mkataba mpaka jamaa walipoondoka,leo Tena Aggreco kapewa Tenda hiyo hiyo apeleke Mtambo wa Mafuta mwanza sijui kipi kimebadilika leo tuweze kupeleka Mafuta hayo mwz ambapo mwanzo tulishindwa.

Sasahivi nchi inaongozwa kwa Msingi wa Majungu ole wako ugombane na Ridhwani waulize Bashe na Masauni watakueleza,leo mtoto anafanya Dili zote kuanzia kusafisha Vyoo Mpaka kusafirisha Madini,

Usipomuona Rizy ktk Dili utamuona 2nd First lady Alkhuroos Rahma kaibuka hapa mara Pale ,Kampeni za CCM zilitengwa Bilioni 6 kwa ajili ya Familia Ccm kina makamba wakawa wanapiga kelele hapa hapa Dar,chama kimekufa Nchi iko HOI jamaa anaongea Ngonjera Mara nitajenga viwanja vya Ndege,Mara Meli,Mara mnataka Ngeleja abebe Maji kwenye ndo apeleke Mtera?mara matatizo mwl Nyerere alishindwa hata mm siyawezi.

Katufanya watu wa Matukio kuanzia ktk chama mpaka serekalini 2015 ifike aondoke sana Tupo anajisifia shule za kata wazee wetu waliuza kuku,mbuzi,mazao kila kitu wao wameshindwa kuleta waalimu inaudhi basi tu.

Ongezeeni matukio mengine.Kila jambo Inaundwa tume ,ichunguze sasa wanataka kuchukua na UDA yetu .

Naunga mkono post hii !!!

Mkuu una demand too much from her. At least yeye amekuwa na ujasiri wa kukosoa directly tena kwa kutumia jina lake moja kwa moja pasipo kificho.

Kweli bana, ujasiri aliouonyesha si tu kupeleka ujumbe kwa JK, bali kumpa ukweli mchungu kiongozi wake wa kitaifa wa chama, watu wanawaogopa hata viongozi wao ngazi ya tawi itakuwa Taifa.

Hivi mwananchi wa "kawaida" na mwananchi sio wa kawaida wakoje? mie naona hapa kuna kaubaguzi ka kuwatofautisha wananchi.

Mhhh!!ShyRose..ShyRose...ShyRose!!!!in the current CCM,the one which neither belongs to the workers nor to the peasants,the one which was denied by its founder Mwalimu JK,to hold a such big stand of correcting your Chairman and the CC,to me you are no longer validy to remain the member to the party,none of your leaders wishes to be corrected not only in public manner but even at his home except for the man who is now lying burried at Butiama

You indeed have good ideas however the party politics wouldn't like to allow it out of your mouth,watch it my sister!!Korimba,A.Chifupa,Dr.A.Juma and the like were once living but today have gone,be ready,get on your knees,stand firm....with God's mercy[/QUOTE]

Mambo / maneno hayo ndiyo yanayo tufanya tunaendelea kutaabishwa..Nitashangaa kuona mwanaume mzima anapotaka kupunguza ujasiri wa mwanamke!!!

.............Your welcome to CDM mamaa,there are many spaces for you....

Nimeipenda. wana ccm umefika wakati tuseme ukweli hata kama itatu cost

Na ujumbe uende mbali zaidi, watanzania tuseme ukweli hata kama utatucost, Mi binafsi kuna mambo naweza kuongea jf kwa sab nna utambulisho feki ila kwenye fb siwezi, sababu kubwa UOGA kwa kuwaza hatma yangu upande wa kazi nk.

Ni vigumu kuamini kuwa mtu yeyote aliyeko ndani ya ccm anaweza kukikosoa hiki chama. Hii ni kwa sababu ndani ya ccm kila mtu ana-mtandao na hivyo hizi public statements hazina uhusiano wowote na maslahi ya umma ila ni katika mwendelezo wa minyukano ndani ya chama. Kwa mtu yeyote anayedai kuwa anatetea maslahi wa watanzania- wakulima na wafanyakazi, basi atatoka nje ya ccm. Na yeyote aliyopo ndani lazima ana-belong kwenye kundi moja au jingine yaani mtandao. Ni vizuri sote tukalijua hili maana hata ukiangalia statements za wakubwa hawa ziko zaidi katika 'ustawi wa chama' na sio umma - yaani watanzania wa kawaida. Read careful between the lines!

NB: Huyo mtu aliyekuja na wazo/aliyependekeza kauki mbiu ya 'TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE' akimbiwe kama ukoma. Inaelekea kabisa huyo mtu haelewe public message maana yake nini ina inapatikanaje. Serikali isimkaribie kabisa maana anawapotosha. Lakini cha kushangaza, inakuwaje serikali nzima inakubali kauli kama hii ambayo inagawa wananchi badala ya kuwaunganisha kusheherekea miaka 50 ya uhuru?
Something is very wrong somewhere na inaelekea hii message ilitengenezwa ofisini, hakuna research & testing yoyote iliyofanyika. such a shame!

Haaa haaa hii nimeipenda "...kina fall from a cliff in a slow motion"

Shyrose hongera kwa kunena japo too late. Yafaa ujue umenena wakati chama chako kina fall from a cliff in slow motion, it cant reverse, only time will tell lini kitafika chini. Unafiki wa wana CCM umeifikisha hapo,hawakusoma alama za nyakati, na zlikua wazi kwa kila mwenye kutaka kuziona. Bye bye chama chetu.

Hivi huyo Shyrose bhanji, kaishalifanyia nini taifa letu au ana msaada gani! naona kila siku Pro-CDM-JF, mnaangaika nae.
Mnatoa umbea kule FB mnaleta JF, Magwanda bana au kwa sababu shemeji yenu demu wa Sugu

Mambo ya ushemeji hapa umetokanayo wapi?hizo ni personal issues and i think this is not the right place for that, that is absolutely none of our business here kwa wanaJF, Stick to the mada. kimsingi kubwa linalofanywa na magamba ni kuhujumu taifa. we ulitaka na yeye ahujumu wapi????hujuma hujuma hujuma that is what magamba does to our country

Shyrose Banji(chotala wa kihindi),amekuwa msaka madaraka sana ndani ya magamba lakini bahati mbaya sana amekuwa akipigwa chini,si ubunge wa kuchaguliwa Kinondoni,si viti maalum wala ukuu wa wilaya hajaambulia.Yeye ni mrembo na mzuri wa kujirusha hata na watoto,hivyo alijua Mr. Bean JK angenasa haraka na mambo yake yange nyooka ndani hata ughaibuni that's why she gave him a lot of support just then.

Ni kweli ni mpambanaji mzuri hasa katika maswala ya mass com,lakini huangushwa na tabia zake zisizokuwa na haiba ya nidhamu(kuendeleza mapenzi ya kitoto na scandal za mbali mbali za ufuska).Hii ni tabia ambayo inaweza kumu-outsmart kiongozi yeyote wa kisiasa hasa mambo yanapokuwa wazi wazi sana.

Namuunga mkono kumkosoa JK tena sana tu lakini siungi mkono kilichopo moyoni mwake kwani kinaweza kuwa so personal kuliko tunavyodhani.Namshauri atumie mijadala ya wazi kama TV na vikao vyao vya chama kumkosoa JK na sio katika fb ambapo tunaosoma ni wachache,hivyo wengi hawajui anasema nini!

Kuna uwezekano kuwa Shyrse as a person ana upungufu wake. Lakini nakubaliana na kauli yake, nadhani tujadili kauli yake na sio vitendo vyake nje ya kauli hii. Kuna kitu kinaitwa political mathematics ambacho kila mtu anastaili yake ya kukicheza, sidhani kama Shyrose is worse than others. Si vizuri kuingilia huko, vizuri tujadili hoja ya kuendesha nchi kwa kauli mbiu.

Sio siri hata mimi hiyo kauli mbiu ya Chiligati huwa inanikera sana.Kwa mtu yeyote mwenye kuelewa nadhani anaiona kuwa ni kauli ya kinafiki sana.Hongera Shyrose kwa kutufikishia ujumbe na sisi tusio na sauti.

Ni watu wachache sana ndani ya CCM wanaoweza kumwambia ukweli rais wetu.At least Shyrose amethubutu,ameweza na sasa tunatarajia kumuona akisonga mbele.

Shyrose isije ikawa ni visa baada ya kuambulia patupu CCM ,ila kama yanatoka moyoni hongera and keep it up!
Wangapi wameambulia patupu na wakabaki wana chama waaminifu? Wako wapi kina Chegeni ambao hata vifo vinawafuata lakini ndio walikuwa mameneja wa kampeni za Jk? Yuko wapi Selelii, Kimaro,Shelukindo, Bashe, Masilingi, Yono, Masishanga n.k? Nadhani tuwe fair, Shyrose kasema kwa uwazi ktu ambacho wengine hata hapa JF wanapotumia majina bandia wameshindwa kusema kwa uwazi. Heko Shyrose

Mwana dada Shyrose Bhanji amemtolea uvivu Mzee Johni Chiligati alipo post kwenye ukurasa wake wa faacebook kauli mbiu yao ya

"TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE!"

Mwana Dada Shyrose akamwandikia mzee Chiligati maneno haya

SHYrose.jpg

Hayo ni maneno makali sana kutoka kwa mwanadada Shyrose, ana muona wa mbali sana tofauti na wana CCM wengine ambao hawataki kukubaliana na ukweli kwamba CCM inaelekea kufa.

Shyrose, huna haja ya kutoa povu kwa kutaka ccm kibadilike, wakubwa zako wanajua safari ya ccm kuwa chama cha upinzani imeshawiva so wanachokifanya ni kuzoa vya mwisho mwisho, ndo mana unaona safari za nje zisizoisha kuanzia rais, waziri mkuu, mawaziri, spika, mpaka wenyeviti wa bodi kama msekwa. wanazoa posho za mwishomwisho.

nakusikitikia inaonekana unazinduka wakati ccm is beyond the point of no return. kama unahisi unaitakia mema nchi yako, we welcome you kwenye tumaini jipya cdm, ndio tulizo la wazalendo. huko utaishia KUROGWA utacost wazazi wako na sisi utucost kuja kukulilia. yani hapo unatafuta kufa kwa uzembe dada!!!!!!refer to walotangulia chifupa and kolimba,

inabidi muda mwingine ukweli utumike na kuweka propaganda pembeni, ni muda wa wana magamba kuacha siasa hata katika issue makini!

Back
Top Bottom