Ni umri gani unatakiwa uwe na mtoto mwenye afya njema?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kuna msemo usemao kila jambo lina muda wake,

Hivi ni umri gani kwa mwanaume au mwanamke hautakiwi uwee umeshauvuka tiyari unatakiwa uwe na mtoto kwa maana ukivuka huo umri mtoto wako akizaliwa atakuwa na shida?
 
Wataalamu wa afya wamekuwa wakishauri miaka 35 kwa wanawake, sijabahatika kusikia kuhusu umri wa wanaume kumalizana na jambo hilo kutoka kwa wataalamu hao.

Kitabu kimoja wapo ya imani, inazungumzia MTOTO WA UJANA wako, MKE wa ujana wako. Pengine tufuatilie kwa mujibu wa vitabu vya dini, ujana unakomea wapi na kwa mujibu wa wataalamu wa sasa, ujana unaishia wapi ili tuchanganye na zetu, tumalize hili jambo.
 
Ndugu, kama huna uwezo wa kumhudumia huyo mwanamke wa kukupa mtoto, sikushauri umtie mimba sababu ya umri kukuacha. Jitahid angalau kwa siku uwe na uwezekano wa kupata ELFU MBILI, yes 2000 ya kitanzania. Tofauti na hivyo Fedheha utakayokumbana nayo, hutokaa uwapende wanawake maisha yako yote.
 
Kuna msemo usemao kila jambo lina muda wake,

Hivi ni umri gani kwa mwanaume au mwanamke hautakiwi uwee umeshauvuka tiyari unatakiwa uwe na mtoto kwa maana ukivuka huo umri mtoto wako akizaliwa atakuwa na shida?
Nikiolewa ntajua sa hv sijawaza kabisaaaaaaaaa swala hilo
 
Back
Top Bottom