Kazi zipi hizoooAt least at 60 years of Age NB; now nina 25 years of age nina diploma tu but namalizia nyumba yangu thru kazi izi za kuungaunga na nategemea kurudi chuo at 40years na kuoa at 30 years all in all Mungu ndo anajua hatma zetu.
Mimi mkuu ni fundi seremala ila ni modern carpenter nina showroom yangu nauza furniture keko mkuu japokuwa biashara tunafanya kibishi but nashkuru maana biashara za samani ni pasua kichwa kweli yani mpka mtu ashibe ndo aje anunue bed au wardrobe au cupboard.Kazi zipi hizooo
Naona viwanja vinasubiri pensheni ya mama watoto ili ujenge nyumba. Kupanga ni kuchagua,haupo vibaya...Mimi Nina 53Yr nina mke na watoto lakinisina nyumba , naishi nyumba ya kupanga, watoto 3 wote wanasoma private school, sina kazi makhsusi, lakini sitegemei mtu yeyote ila mimi na wifu tunapambana.Sisi ni Waalim ,wife anasomesha primary, mimi nilishaachaga zamani kufundisha ,napiga mission town bila hivyo tungelikuwa tuna lala njaa.
Ila Nina viwanja kadhaa, ng'ambo ya mji na mimi napenda kuishi mjini.
Sasa sijui bado sijafanikiwa? , au ndio nitachekwa au ikoje hii?
AiDunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja
Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
Mafanikio ni nini?Usiishi maisha ya kuangalia nani anakucheka au nani anakufurahia
Maisha ni yako mwenyewe, ufe maskini au tajiri haihusu
Watu wengi mnaishi maisha ya stress sababu ya jamii, dini au serikali. Ishi maisha yako mwenyewe
Mbaya zaidi kwa ujinga wenu wenyewe mmeamini kufanikiwa ni kuwa na nyumba, gari na hela nyingi, huu ni upumbavu mtupu na hauna uhusiano wowote na mafanikio
Ai
zigzagAt least at 60 years of Age NB; now nina 25 years of age nina diploma tu but namalizia nyumba yangu thru kazi izi za kuungaunga na nategemea kurudi chuo at 40years na kuoa at 30 years all in all Mungu ndo anajua hatma zetu.
Ndo maisha yetu mkuu huoni bodi ya atcl haina hata mtu mmoja alosoma combination ya PGM advance?zigzag
Nitakujibu nikipata mudaMafanikio ni nini?
kweliKaka yangu alidharaulika akiwa na umri chin ya miaka 40 lakn kwa sasa anaheshimiwa sana imetosha miaka 8 tu Mungu kubadili maisha yake na sasa anapewa heshima ambyo aliikosa kwa miaka mingi
Hivyo mi naamin maisha hayana kuchelewa wala kuwahi unaweza ukaanza vizuri na ukamaliza vibaya , unaweza kuanza vibaya na ukamaliza vizuri.. zote hizo ni rehma za Mwenyezi Mungu.
Ukiweza kula milo mitatu haimaanishi alie lala njaa siku mbili ana dhambi sana