Ni umeme au computer?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naomba kujua huku kwetu umeme huwa unakatika na kurudi ila mara nyingi huwa nachaji laptop pind umeme ujapo kwa utulivu ila mara nyingine nikichomeka tu hii charger huwa unatoka mlio kwa sauti nadhani ni mlio wa feni huwa inatoa sana sauti ila nikichomoa tu unaacha na kwakuwa lengo ni kuchaji huwa naiacha iendelee kuingia chaji na mlio wake sasa wakuu hivi sababu ya mlio mkali unaokuwa kama unatoka kwenye feni ni nini naomba msaada khs hilo?
 
duh...mkuu maelezo uliyoyatoa ki ukweli yapo general sana...bado hayajajitosheleza...manake inawezekana ikawa huo mlio ukawa sio hata wa feni...na hata kama ni wa feni bado kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ...na hilo tatizo la charger ungeeleza limeanza mda gani au lilikuwepo tangia mwanzo ingesaidia pia...hivihiv tu inakuwa ngumu maana hatuioni hiyo pc hapa so maelezo ni muhimu sana yawe ya kujitosheleza!!
 
mlio unaotoka ni wa namna gani? ni kwanini umehisi ni fan? maelezo yako hayapo sawa!!
 
Ok labda niseme kuwa pc na charger yake havina ukorofi wowote kwa siku za nyuma isipokuwa tangu umeme uwe wa mgao kwa siku mojamoja umeme unapokatika na kurudi nikitaka kuchaj naskia mlio unaoskika unakuwa kama unatokea kwenye spika ila saut yake nashidwa kuielezea isipokuwa inakuwa ni kama upepo unapuliza kwa nguvu ndani ya pc ndio nikakadilia kuwa labda mlio wa fen na kingine nilichodaut ni kuwa huenda nguv ya umeme unaokuwa ulikatika inaporud inakuwa pengine kubwa au ndogo kwamba ndio sababu kwa mtazamo wangu ndio nikaona niulize hapa. Sijui nimeeleweka!
 
huo mlio unatoka kwenye charger ua kwenye laptop? kwasababu charger hazinaga fen
 
Back
Top Bottom