Ni ulemavu au faida kwake

hakuna mwanadamu wa aina hiyo duniani, labda kama amefanyiwa transplant....kama kuna mtu alishawahi kumwona mtu kama huyo, alete picha hapa....usilete za ulaya kwasababu watu wa ulaya huwa wanafanya kwa maigizo ya porny hivyo wanawakuwa wamewatengeneza tu wenyewe hawakuzaliwa hivyo.

Kumbeeeee!

Inategemea labda kama ni lesbian, na wako pia huwa vinafanya kazi vyote lol

hakuna mwanadamu wa aina hiyo duniani, labda kama amefanyiwa transplant....kama kuna mtu alishawahi kumwona mtu kama huyo, alete picha hapa....usilete za ulaya kwasababu watu wa ulaya huwa wanafanya kwa maigizo ya porny hivyo wanawakuwa wamewatengeneza tu wenyewe hawakuzaliwa hivyo.

bona wapo 2. Nimesoma na one of them she was she bt now ni he. So dont say hamna coz i saw with my own 2 eyes

unataka kuniambia mwanzoni alikua ana maziwa na sasa hana na ana bez au. Na uliona je?

tulikuwa tuna soma same school n same class.from class 1 til class 8 coz it is kenya am talking abt she use 2 wear dress,as girls we use 2 fear her coz she looks like boy. Bt now alifanyiwa oparesheni coz side ya kiume ilikuwa na nguvu.he's married.she use 2 b called jane bt now james.

she male huyo...................hbu mkumbukeni yule mwanariadha wa south africa(SEMANYA) alivoleta mtafaruku

Siwezi sema ulemavu.. lakini kuna wengine
Wamezaliwa hivyo, kuna wengine wamejitakia ..

I can't belive it anless niobserve 4my own eyes
Inabidi uamini coz hiyo mambo ipo, binafsi nlikua na dia wangu mmoja alikua anajinsia mbili lkn jinsia y kiume ilikua functionless mana ni kidudu kidogo km ch mtoto mchanga alozaliwa leo!

Kama haamini ucmlazimishe kwani yy hashangai AVATAR yako hujafa hujaumbika

Weee Zubeda wa Mchuzi umenifurahisha sana...nachojua ni kwamba kiuongo kimoja ndio kitakuwa kizima,kingine ni picha tu.
haswaaa.

tulikuwa tuna soma same school n same class.from class 1 til class 8 coz it is kenya am talking abt she use 2 wear dress,as girls we use 2 fear her coz she looks like boy. Bt now alifanyiwa oparesheni coz side ya kiume ilikuwa na nguvu.he's married.she use 2 b called jane bt now james.
sasa huyo alikuwa analazimisha uanamke na upande wa uanamme ndio ulikuwa dominant.

she male huyo...................hbu mkumbukeni yule mwanariadha wa south africa(SEMANYA) alivoleta mtafaruku
semenya ni mwanamke lakini ana zana za kiume tumboni zilikuwa zinazalisha tetestorone na sasa zimeondolewa kwa upasuaji.

Inabidi uamini coz hiyo mambo ipo, binafsi nlikua na dia wangu mmoja alikua anajinsia mbili lkn jinsia y kiume ilikua functionless mana ni kidudu kidogo km ch mtoto mchanga alozaliwa leo!
kauli yako ni sawa moja huwa picha. Lady Gaga huyu muimbaji Semenya alipoandamwa sasa alitangazia ulimwengu kuwa hata yeye ana zote mbili lakini ya kiume ni kama picha tu, pia kuna tetesi kuwa mwimbaji Ciara naye alizaliwa na zote mbili wakatoa ya kiume kwa upasuaji,Bow mwimbaji alipokuwa BF wa Ciara alisema demu ana nguvu balaa ukimuudhi unapata kichapo.

Hatakama anatokea mtu mwenye jinsia mbili ni moja tu ndio inayokuwa na nguvu nyingine inakuwa bosheni.
hakuna mwanadamu wa aina hiyo duniani, labda kama amefanyiwa transplant....kama kuna mtu alishawahi kumwona mtu kama huyo, alete picha hapa....usilete za ulaya kwasababu watu wa ulaya huwa wanafanya kwa maigizo ya porny hivyo wanawakuwa wamewatengeneza tu wenyewe hawakuzaliwa hivyo.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom