Tetesi: Ni ukweli kuhusu wale waliotoka kazini kutopata mkopo mwaka ??

better parker

Senior Member
Jul 26, 2016
166
103
Jamani naomba kufahamu kuhusu mikopo ya elimu ya juu kwa wale waliotoka makazini ipo kweli mana kuna blogger mmoja hivi ka post kudai mwaka uu au wale continues wanaweza wakasitishiwa mikopo sababu ni wafanyakazi wanao uwezo wa kujilipia please majibu naitaji
 
Back
Top Bottom