Ni ujuzi gani upo katika soko, ukijifunza unaweza kukupa fursa kujiajiri au kuajiriwa

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Hebu tusaidiane ndugu zangu mnaofahamu ni ujuzi gani ukijifunza upo katika ukijifunza unaweza kukupa fursa nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa
 
Catering and food hygiene, watu siku zote wanakula ni rahisi kuajiriwa au kuanzisha biashara yako hata kwa mtaji mdogo.
 
Back
Top Bottom