Ni ujinga kwa mwanume kumuuacha mke kitandani na kwenda mazoezini alfajiri. Hujui 6×6 ni sawa na kukimbia km7.5?

Wavulana mna shida sana, kesho mwenzako atakuja na uzi wa kwamba "mwanaume kuamka asubuhi na kumuacha mkeo kitandani, huku ukiwahi kazini ni makosa "..tehteehh
 
Hujui Maana Ya Mazoezi, Usijifanye Mujuaji Omba Msaada Uelekezwe, Itakusaidia!
Hakuna maana nyingine ya mazoezi zaidi ya kunyoosha viungo vya mwili na misuli yake. Fanya ufanyacho, kwa njia yoyote ile ili mradi lengo hili lifikiwe. Usi-complicate maisha.
 
Back
Top Bottom