NI UJENZI UPI UNA GHARAMA ZAIDI HAPA

Princemwalejr

JF-Expert Member
Nov 9, 2017
496
488
Wadau ni mradi upi utamalizika haraka?

1d2771023d87cd5667e5de8d1ea17351.jpg

dbc0114f3f1d82a84f9e6ef9e5e15ba2.jpg
 
Ujenzi wa mbao ni cheap.

Bingo! Kama mbao ni cheap. Kina Bakhresa tunao wangapi Tanzania?

Kwanini tumepindua kibao juu chini. Matajiri wa Marekani wanajenga nyumba za bei rahisi, sisi masikini tunajenga nyumba za bei ghali?

Ndio maana miradi kama hiyo ya Fumba Zanzibar kwa Tanzania sio mingi. Kwa wenzetu ukilala ukiamka unakuta wamefunga eneo wanagonga hizo mbao zao na maboksi kesho mji mpya umejengwa.

Hawaulizi mifuko mingapi ya simenti, kokoto wakachimbe mto gani, tofali afyatue nani, nondo malori mangapi na zege abebe nani.
 
Marekani wanatumia mbao kujenga kwa sababu nyingi tu, cost, tornado, storm, huricane. Inategemeana area mfano Florida watu wengi wenye uwezo wanatumia concrete, wanajenga na block zilizowazi harafu wanajaza concrete kwenye wall.
 
Hata haiingii akilini kuwa mjengo mkubwa wa kiasi hiki umesimamishwa bila ya tofali, zege wala nguzo za zege. Hivyo vitofali chini hapo ni urembo tu. Hakuna cha kenchi wala kanopi.

b8a6b687d9b785ca37b4af8daf69104a.jpg
 
Sasa sisi tuna tornado mkuu.
Hakuna nchi iliyojaaliwa duniani kama Tanzania (topic nyingine hiyo)
 
Pia tanzania hatutumii mbao sababu ya hofu ya mchwa. As usualy hatujuwi kuhudumia vitu, tukimaliza ujenzi mengine ndio basi. Wenzetu USA wana home owner association unalipia kwa lazima kutokana na unaponunua nyumba masharti yao kwahiyo wanakuwa wana mantain mazingirana matengenezo madogo madogo for life.
 
Ndio tubadilike sasa. Tusikubali kuachwa kimaendeleo kwa visababu kama hivyo.
 
Sasa sisi tuna tornado mkuu.
Hakuna nchi iliyojaaliwa duniani kama Tanzania (topic nyingine hiyo)
Ndio maana wanaojitoa akili ni wengi hakuna challenges za i).mazingira (tabia ya nchi haijaharibika), ii).unaenda kwa mjomba unakaa tu ha mwezi mzima huna kazi ya kufanya ni menu tu na remote ya tv muda wote, ukimaliza hapo unamtafuta baba mdogo na kwake mwendo ni ule ule ..mara pap mwaka umekisha....

Anyway ni topic nyingine, tusichafue uzi...
 
Bingo! Kama mbao ni cheap. Kina Bakhresa tunao wangapi Tanzania?

Kwanini tumepindua kibao juu chini. Matajiri wa Marekani wanajenga nyumba za bei rahisi, sisi masikini tunajenga nyumba za bei ghali?

Ndio maana miradi kama hiyo ya Fumba Zanzibar kwa Tanzania sio mingi. Kwa wenzetu ukilala ukiamka unakuta wamefunga eneo wanagonga hizo mbao zao na maboksi kesho mji mpya umejengwa.

Hawaulizi mifuko mingapi ya simenti, kokoto wakachimbe mto gani, tofali afyatue nani, nondo malori mangapi na zege abebe nani.
Kwa nchi kama yetu ambayo huduma za dharura, mfano zimamoto ili zikufikie ulipo ni mtihani nyumba ya mbao siyo chaguo zuri sana.

Swala la joto inamaanisha itabidi uwe na AC na bili ya kulipia.

Nahisi soon utaona ni bora ungejenga kwa tofali.
 
Joto ni ujenzi wetu tu. Hiyo hali ya hewa ya Tanzania wangipata wenzetu we acha tuu! Hebu tizama huu mjengo kama utaona mzinga wa air condition unaning’inia nje. Unafikiri hakuna joto?
7e8b24e793b0df07fe878adf996e231b.jpg
 
Kwani hapo wapi?
 
Hata haiingii akilini kuwa mjengo mkubwa wa kiasi hiki umesimamishwa bila ya tofali, zege wala nguzo za zege. Hivyo vitofali chini hapo ni urembo tu. Hakuna cha kenchi wala kanopi.

b8a6b687d9b785ca37b4af8daf69104a.jpg

Umeme wao pia wa uhakika haina shoti km Tz
 
Joto ni ujenzi wetu tu. Hiyo hali ya hewa ya Tanzania wangipata wenzetu we acha tuu! Hebu tizama huu mjengo kama utaona mzinga wa air condition unaning’inia nje. Unafikiri hakuna joto?
7e8b24e793b0df07fe878adf996e231b.jpg

Possibly wanatumia mfumo wa HVAC Systems ambao ni tofauti na matumizi ya AC tulizozoea kuona zikining'inia !!!
 
Ni mfumo wa kisasa unafikisha hewa katika kila chumba. Sisi bado tuna air condition zenye baridi kali kila chumba lazima ufunge mashine moja.
 
Back
Top Bottom