Ni ujasiri gani mtu huupata mpaka kuamua binadamu mwenzie na anakuwa anajua kabisa hatomwona tena duniani?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Binadamu bhana.

Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-

1. Kumroga

2. Kumpa sumu

3. Kumpiga mangumi

4. Kumchoma kisu

5. Kumpiga risasi/bomu

6. Kumuambukiza ugonjwa makusudi

Na wakati huo ukijua kabisa atapotea mazima duniani na hautofanikiwa kumwona tena.

Huu ujasiri huwa unatoka wapi jamani? Maana kuna adhabu zingine nyingi tu za kawaida zaidi ya kumpoteza mtu.
 
We acha,nahisi kwa kipindi hiko mawazo hayo yanamjia muuaji anakuwa amejisahau hasa na Mambo ya kiduniani.anahisi dunia ya kwake,anakuwa hamuogopi mungu,anahisi yeye ataishi milele,Ana hisi anamkomoa,anahisi bila yeye Mambo hayaendi,ila anasahau kuwa yeye nae Ni mavumbi na mavumbini atarudi,Ni matendo ya mda tu
 
Muhulize yule jamaa rafiki yake M23 kutoka Rwanda ndio huwana huu mchezo na kamuambukiza jamaa wa pale wizara zote ziamie Dodoma na ni jirani na njia ya ocean road st na yule mtoto wake asiyekuwa na vyeti
SOON LISSU IS BACK.

Swissme
 
Kusema kweli kuna sababu nyingi sana..

Unaweza kuua mtu pale ambapo usipofanya hivyo basi wewe ndio utakufa

Unaweza kuua mtu bila kukusudia, mfano unaendesha gari ghafla mtu anavuka road bila kuwa makini

Unaweza kuua mtu, kwamfano mtu anaingia kwako anambaka mtoto wako labda na mke. Hivi huyu mtu kumwondoa duniani utaona kazi?

Na sababu nyingine nyingi.
 
Binadamu bhana.

Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-

1. Kumroga

2. Kumpa sumu

3. Kumpiga mangumi

4. Kumchoma kisu

5. Kumpiga risasi/bomu

6. Kumuambukiza ugonjwa makusudi

Na wakati huo ukijua kabisa atapotea mazima duniani na hautofanikiwa kumwona tena.

Huu ujasiri huwa unatoka wapi jamani? Maana kuna adhabu zingine nyingi tu za kawaida zaidi ya kumpoteza mtu.
Chonde chonde Bashite
 
Hiv mpk mtu uamue kumuua mwenzako, inahtaj roho mbaya au roho ngumu? Hembu tuachane na roho yake, hv kweli mtu unafkia hatua ya kumuua mtu ubongo/akili yake ni nzima kweli? Najua mtu anaweza akawa na akili na roho mbaya/ngumu pia, mwingne akawa na roho mbaya/ngumu halaf akakosa akili, na kinyume chake pia. Mi nahsi tatzo huanzia kichwan, sina uhakika kama a real smart person can kill, may be clever one.
 
Binadamu bhana.

Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-

1. Kumroga

2. Kumpa sumu

3. Kumpiga mangumi

4. Kumchoma kisu

5. Kumpiga risasi/bomu

6. Kumuambukiza ugonjwa makusudi

Na wakati huo ukijua kabisa atapotea mazima duniani na hautofanikiwa kumwona tena.

Huu ujasiri huwa unatoka wapi jamani? Maana kuna adhabu zingine nyingi tu za kawaida zaidi ya kumpoteza mtu.
Yote hayo madogo kubwa kuliko ni kumsema malaika,wasiojulikana wakamimina 38 kma wako somalia
 
Binadamu bhana.

Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-

1. Kumroga

2. Kumpa sumu

3. Kumpiga mangumi

4. Kumchoma kisu

5. Kumpiga risasi/bomu

6. Kumuambukiza ugonjwa makusudi

Na wakati huo ukijua kabisa atapotea mazima duniani na hautofanikiwa kumwona tena.

Huu ujasiri huwa unatoka wapi jamani? Maana kuna adhabu zingine nyingi tu za kawaida zaidi ya kumpoteza mtu.
Binadamu hatufanani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom