Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Binadamu bhana.
Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-
1. Kumroga
2. Kumpa sumu
3. Kumpiga mangumi
4. Kumchoma kisu
5. Kumpiga risasi/bomu
6. Kumuambukiza ugonjwa makusudi
Na wakati huo ukijua kabisa atapotea mazima duniani na hautofanikiwa kumwona tena.
Huu ujasiri huwa unatoka wapi jamani? Maana kuna adhabu zingine nyingi tu za kawaida zaidi ya kumpoteza mtu.