Tatizo la kuwahi kufika kileleni ni ugonjwa au?

Hahaha! hapana mkuu unaweza kuuliza swali,hii signature niliweka baada ya waziri mmoja kukata kujibu swali bungeni akidai eti ni swali jipya lol! Hii delay spray ni ufumbuzi wa muda mfupi na inakatazwa kutumiwa kwa muda murefu, itamsaidia mhusika hapa juu aweze kujua utafauti wa dakika moja na dakika 15-20 na inaweza kumpa confidence asihitaji tena tiba ingine,mimi mwenyewe nilitumia hapo zamani ni sikuhitaji tena baada ya wiki mbili.

Ninavyosikia ni japokuwa hizo delay sprays zimefanikiwa kuongeza muda ya sexual intercourse, nyingi hazijawa designed specifically or lincensed for that purpose. Pia kama ulivyosema zina limitations zake ambazo ni muhimu mtumiaji kuzijua. Haushauriwi kutumia kama partner ana alegi anaesthetics related, michubuko (kwa wote), ni mjamzito, kama mtumiaji ana au alishakuwa na matatizo ya liver or kidney. Pia kama una high blood pressure au unatumia dawa nyingine avoid hiyo kitu au tafuta ushauri wa daktari. Ndio maana nikashauri akamwone daktari kwanza usikute mwenzetu ana matatizo mengine ya kiafya ambayo hata yeye mwenyewe hayajui.

Halafu products ambazo zimetengenezwa with chemicals zinakuwa na side effects. Kuna wengine wanasema delay spray wakati mwingine zinafanya penis to go numb baada ya kutumia. Delay spray ina chemical ingredient moja inayoitwa Lidocaine or also known as numbing properties that makes it so ineffective. Just imagine yourself being numb, you wouldn't feel a thing right? That is also similar when you want to apply this unique make enhancement product to your penis. You wouldn't feel any sensation even if it is erecting so hard. It is not an ideal thing to do. There are also some testimonials that it gives an irritation to the skin. If your penis is numb, then what do you think will happen to your partner's vagina? It will be numb too. And if you are both numb, you won't feel anything.

Still naona kuna umuhimu mkubwa wa kutumia behavioural or other drug therapies. Mwili wenye afya utamsadia ku develop stamina. Pia kufanya breathing exercises is much more effective than using some male enhancement products. Kama anakunywa sana pombe au anavuta sigara apunguze au aache kabisa. Ale vyakula bora. Afanye mazoezi. Kubwa zaidi amwone daktari.
 
Maelezo niliyopewa na pharmasist aliniambia nitumie na condom na kama situmii basi few minutes before niipanguse na kitamba kibichi,kuhusu irritation ni kweli lakini ni dakika chache tu,kuhusu numbness ukipaka kaa 1 hour numbness itapungua na bado utachelewa. upakaji wake ni few drop on your finger unapaka kwenye mfereji tu na sio kichwa kwahiyo inafanya kazi na hisia ipo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Maelezo niliyopewa na pharmasist aliniambia nitumie na condom na kama situmii basi few minutes before niipanguse na kitamba kibichi,kuhusu irritation ni kweli lakini ni dakika chache tu,kuhusu numbness ukipaka kaa 1 hour numbness itapungua na bado utachelewa. upakaji wake ni few drop on your finger unapaka kwenye mfereji tu na sio kichwa kwahiyo inafanya kazi na hisia ipo.

The bottom line ya delay spray is inability to do that job as per own own sexual desire. Ulivyotumia how did you feel about that? Pili, kitendo cha wewe kufikia kutumia delay spray, were you thinking that if you last longer, somehow she will have an orgasm during p-v sex?
 
The bottom line ya delay spray is inability to do that job as per own own sexual desire. Ulivyotumia how did you feel about that? Pili, kitendo cha wewe kufikia kutumia delay spray, were you thinking that if you last longer, somehow she will have an orgasm during p-v sex?
Sikatai kwamba kuna long term solutions na nazikubali,mimi kuna mUda nilikuwa under a lot of stress nikawa nafika haraka kabla ya mwenzangu kuridhika kwahiyo nilitumia na ilitusaidia kwa muda huo HENCE TEMPORARY SOLUTION.
 
wakati unatumia hizo temporary solutions endelea kufanya kegel's exercise na usome hiyo attachment ya mtm.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nenda kwa daktari upate ushauri kabla ya kutumia dawa zozote kwani anaweza kukupa ushauri mzuri ukaondokana na tatizo hilo
 
thakns kwa ushauri kuhusu kuihamishia kwa JF Dr kule nimeweka nyingine yenye kichwa cha Premature ejaculation
 
man umechelewa kuanza haya mambo nini?halaf huyo unaedo nae ni mkeo au hit and run?inawezekana c wako ndio mana fasta kitu tayari.
Ur addicted to her c ugonjwa hakafu unajua itakua inamboa mana wanawake chapili ndio kinakolea.Je ni vyote fasta au chakwanza tuuuu?
 
Back
Top Bottom