Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nionavyo ni kama vile chadema/upinzani wamekata tamaa na sasa kilichopo ni kwamba wanaombea Wabunge wa CCM waasi/wakaidi chama chao na kujiunga nao!
Sasa hii maana yake nini? Kwa tafsiri yangu ni kwamba chadema/Upinzani wao kama wao wameshashindwa na kwamba wamenyoosha mikono na sasa wanaomba msaada kutoka ndani ya CCM, ni kama vile unakwenda kwenye mechi dhidi ya Timu B halafu tegemeo lako pekee ni kwamba baadhi ya Wachezaji wa Timu B wajifunge magoli kwa makusudi ndiyo uweze kushinda , sasa hii ina madhara makubwa sana kwa upande wa Timu kata tamaa kwani inashusha molari kabisa ya wachezaji wa upande wa Timu kata tamaa, labda sia ajabu ndo maana Timu kata tamaa Mnyika, Mdee, Sugu &Co. wote wameshajikatia tamaa ...