Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Wapo mabwege wanaoona ufahari kudai kuwa UKAWA walishinda Uchaguzi na kwamba waliporwa ushindi. Ni aibu sana kwa mtu anayetoa madai hayo wakati hesabu zinagoma kabisa kwa kuzingatia matokeo ya Ubunge na Udiwani. Viongozi wa UKAWA baada ya kuona wameshindwa vibaya kwa kujitoa aibu wakaandaa Propanda za kuudanganya Umma ili waonewe huruma! Watanzania makini walio wengi walikataa utapeli wa UKAWA wakachagua maendeleo na wasingeweza kamwe kuiweka Nchi rehani na kuifanyia Majaribio ya Utawala!!!