Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Bado nadhani kiti cha raisi kikiwa na Dr lakini PM strong kama TL ndio itafaa ama Finance au Nishati kwenye mikataba mibovu huku tukitarajia gesi
Pia raisi sio lazima awe Mwenyekiti wa Chama
 
Kutokana na tafiti zangu nilizo nifanya nimegundua kwamba mgombea pekee anayeweza kushindana na magufuli kupitia tiketi ya ukawa ni tundu lisswu
Nasema hivyo kwa sababu tundu lissu ndie pekee atakayeleta ushindani wa kweli kutokana na juhudi zake katika kutetea maslah ya watanzania.ninauhakika kabisa akisimamishwa tundu lisu bas hata wale wakanda ya ziwa wanao daiwa kurudisha kadi bas watakua wanajilaumu

Nawakilisha

Lissu hapaswi kabisa kukosekana bungeni. Ni jasiri na hodari mno katika mambo ya sheria. Dr Slaa anaenea kabisa nafasi hiyo ya juu.
 
Habari wakuu,

Ikitokea UKAWA wakamsimamisha Tundu Lissu kuwa mgombea wa Urais akambane na Magufuli una dhani kipi wana fanana?
 
Kutokana na tafiti zangu nilizo nifanya nimegundua kwamba mgombea pekee anayeweza kushindana na Magufuli kupitia tiketi ya UKAWA ni Tundu Lissu.

Nasema hivyo kwa sababu Tundu Lissu ndiye pekee atakayeleta ushindani wa kweli kutokana na juhudi zake katika kutetea maslah ya watanzania.

Nina uhakika kabisa akisimamishwa Tundu Lisu basi hata wale wakanda ya ziwa wanaodaiwa kurudisha kadi basi watakuwa wanajilaumu.

Nawakilisha.

tupo huku hakuna aliyerudisha kadi, n maneno tu'
 
tupo huku hakuna aliyerudisha kadi, n maneno tu'

Najua mengi yanaongelewa ila kimsingi ni kwamba wengi wao wameonekana kusupport magufuli hasa wale wa upinzani..mfano hapa ofsin kunajamaa yeye ni mwanachama wa chadema kabisa ila anamsifu sana magufuli..nilipo mtajia kuhusu tundu lisu akanywea ghafla
 
Kwa muonekano wangu.silaa tosha kabisaaaaa.tundu lisu abaki nafasi yake ya ubunge ndio analichemsha bunge.
 
chadema ndio mnavuruga ukawa kwa ubinafsi na uroho wenu ivi kwanini usiseme mbatia mtu mwenye busara na haiba ya uongozi, mtu ambaye hata ccm wanamuhofia
 
hata mungu alimleta kila nabii kwa wakati wake ndo maana akumleta yesu kipindi cha mussa au musa kipindi cha daudi kila nabii na wakati wake

hata vitabu vya mungu vilikuja kila kimoja kwa wakati wake zaburi, agano la kale, mpaka agano jipya.
ccm wametufanyia suprise tena kubwa coz hakuna mtu yeyote aliekuwa anafikilia abt magufuli wote tulijua lowassa, membe, jaji ramadhan, mwandosya, kwa wanawake kidogo Dr migilo bt ccm wametufanyia suprise tena kubwa kwa magufuli ameokota pochi la fedha kariakoo mtaa wa kongo

sasa ni zamu yetu ya kuwafanyia big suprise kwa mtu ambae awajamtalajia kwani naamini ccm wamejiandaa kupambana na Dr slaa .

tusiwe kama lowasa intelligence waodanganywa na tafiti za magazeti na taasisi mbalimbali kuwa lowassa anakubalika ndani na nje ya ccm

Dr slaa alikuwa kipindi cha mussa dhama za kina kikwete, Makamba mkubwa hizi ni za yesu dhama za kina magufuli, nape, kinana

tunatakiwa kutumia makombola ya s -300 dhidi ya kibomu cha mkono cha ccm Dr slaa is out of pictures for 5 years na ni so yesterday kwa magufuli aliekuwa main stream hapa tumwekee lissu tu
 
Pamoja na kwamba mi naipenda ccm lkn bado naona haijasimamisha mgombea stahiki. Kama hali ndo hiyo, mi naungana na wana UKAWA kumchagua SLAA. Mi nipo hapa chato jirani kabisa na kwa MAGUFULI ila hatunufaiki na raslimali za taifa letu kama yeye. Anajilimbikizia mali nyingi sana kwake. Huku geita hatumtaki na tumeazimia futompigia kura kamwe
 
Back
Top Bottom