Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Kutokana na tafiti zangu nilizo nifanya nimegundua kwamba mgombea pekee anayeweza kushindana na Magufuli kupitia tiketi ya UKAWA ni Tundu Lissu.

Nasema hivyo kwa sababu Tundu Lissu ndiye pekee atakayeleta ushindani wa kweli kutokana na juhudi zake katika kutetea maslah ya watanzania.

Nina uhakika kabisa akisimamishwa Tundu Lisu basi hata wale wakanda ya ziwa wanaodaiwa kurudisha kadi basi watakuwa wanajilaumu.

Nawakilisha.
 
at least atajaribu...[/QUOTE

Unajua lisu ataleta hamasa nyingine tena kwa watanzania hasa katika harakati zake za kufichua maovu ya wana ccm wengi na pia katika kutetea katiba ya jamhuri ya muungano..vilevile wanafanana na magufuli hasa kiutendaji
 
mkuu umeona mbali coz hata ukiangalia Dr slaa watu walimkubali sana wakati wa Richmond na akaweza kumpeleka puta mzee wa msoga watanzania wanapenda kwenda na matukio ndo maana hata system imeshajua udhaifu wetu ndo maana ikitokea scandals kulizima wanaanzisha kitu kingine kinakuwa hot hata kwenye media kile kingine wanakisahau sasa Dr slaa is out of pictures kwa miaka 5 haya lissu for now huko on fire trust me wakimchagua lissu am sure ccm wata pagawa like tulivyo mchagua Dr slaa 5 years ago bt Dr slaa is so yesterday compare to magufuli aliekuwa main stream haya ni mawazo yangu
 
Kutokana na tafiti zangu nilizo nifanya nimegundua kwamba mgombea pekee anayeweza kushindana na magufuli kupitia tiketi ya ukawa ni tundu lissu
Nasema hivyo kwa sababu tundu lissu ndie pekee atakayeleta ushindani wa kweli kutokana na juhudi zake katika kutetea maslah ya watanzania.ninauhakika kabisa akisimamishwa tundu lisu bas hata wale wakanda ya ziwa wanao daiwa kurudisha kadi bas watakua wanajilaumu

Nawakilisha

Upo sahihi kiongozi, kwa hali ilivyo sasa Lissu angewafaa sana ukawa
 
mkuu umeona mbali coz hata ukiangalia Dr slaa watu walimkubali sana wakati wa Richmond na akaweza kumpeleka puta mzee wa msoga watanzania wanapenda kwenda na matukio ndo maana hata system imeshajua udhaifu wetu ndo maana ikitokea scandals kulizima wanaanzisha kitu kingine kinakuwa hot hata kwenye media kile kingine wanakisahau sasa Dr slaa is out of pictures kwa miaka 5 haya lissu for now huko on fire trust me wakimchagua lissu am sure ccm wata pagawa like tulivyo mchagua Dr slaa 5 years ago bt Dr slaa is so yesterday compare to magufuli aliekuwa main stream haya ni mawazo yangu

Upo sahihi kabisa mkuu CCM wametumia akili nyingi sana tena kwa suprise kubwa katika kumtafuta mwakilishi wao na wanavyoonekana yale makundi yao yamepungua sanaaa..sasa kuyarudisha tena ni lazima ukawa wamsmamishe sura mpya katika urais huwezi kung'ang'ania walewale tu kila mtu alikua na wakati wake ..na sasa ni wakati wa kina lissu kupambana
 
Kutokana na tafiti zangu nilizo nifanya nimegundua kwamba mgombea pekee anayeweza kushindana na magufuli kupitia tiketi ya ukawa ni tundu lissu
Nasema hivyo kwa sababu tundu lissu ndie pekee atakayeleta ushindani wa kweli kutokana na juhudi zake katika kutetea maslah ya watanzania.ninauhakika kabisa akisimamishwa tundu lisu bas hata wale wakanda ya ziwa wanao daiwa kurudisha kadi bas watakua wanajilaumu

Nawakilisha

No one can match dr slaa for now mark my words
 
Which means UKAWA hawana taratibu zao hadi wasubiri comment yako kuwachagulia mwakilishi wao?

Hapana sio nzengwe mkuu hii ni kutokana na hali halisi inavyoonekana sasa
watu hata waupibzani wanaonekana kumuunga mkono magufuli sasa ubadhani ni nan anaweza kuondoa hiyo hali kama sio tundu lissu
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom