MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,131
- 3,912
Mtaani mahali napoishi weekend huwa naokota plastic zote na kuzikusanya kwenye mifuko.
Huwa na waokoa mbwa na paka wanaopigwa mawe mtaani.
Shambani kwangu nimeweka mizinga nyuki minne na nitaongeza.
Nikimuona nyoka,kenge naondoka au nitamuamisha kwa kumfukuza aende simuui. Ambapo zamani nilikuwa ninaua tu hawa viumbe.
Nimepanda miti mingi sana mwaka huu ya matunda.