Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii;

Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya:

~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako
~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba
~ Uwe unalima mazao biashara

Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo masharti yote yanategemea fedha anayotaka kukopa.
 
Back
Top Bottom