Ni takribani miaka 6 sasa tangu nianze kudadisi na kutafiti juu ya wimbi la kujichua maarufu kama Punyeto kwa Wanawake na Wanaume

Vella

Senior Member
Nov 16, 2016
167
156
Ni takribani miaka 6 sasa tangu nianze kudadisi na kutafiti juu ya wimbi la kujichua maarufu kama Punyeto kwa Wanawake na Wanaume.

Mwishoni mwa mwezi October mwaka jana nimehitimisha utafiti huo kwa ushahidi kwamba 92% ya Wanawake waliowahi kuwa kwenye mahusiano na waliopo kwenye mahusiano huwa wanapiga punyeto kama njia mbadala ya kujiridhisha kimwili.

Aghalabu, Wanawake wenye umri kuanzia miaka 28 na kuendelea wapo kwenye mstari mwekundu wa tatizo hili.

Wengi wamekiri kuwa, hujichua hata wakati wanashiriki ngono na wenza wao pindi wanapishindwa kuwakuna ipasavyo!

Aidha utafiti huu uneonyesha kuwa kwenye kundi la wanawake 10 wenye umri kati ya miaka 28-45, 8 kati yao hufanya punyeto; ambapo ni zaidi ya asilimia 2% ukilinganisha na wanaume ambao kati ya 10, 6 hupiga punyeto.

Ni wazi kwamba, Wanawake waliowahi kushiriki ngono na kwabahati mbaya wakaachana na wenzi wao au wako na wenzi wao wlakini wakashindwa kuwaridhisha ndio wahanga wakubwa wa tatizo hili.
 
Wee!!!
IMG_20210312_225318.jpg
 
Back
Top Bottom