Ni taasisi gani inatoa elimu ya mambo haya?

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,963
1,616
Habari ndugu zangu,
Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli)
Taasisi inayofundisha mambo kama
1 first aid
2 fire fight
3 swimming na kadhari..
Nahitaji sana hii kitu, asante na muwe na majukumu mema.

Sent using Samsung galaxy A9 ⑥
 
Sasa unachanganya mambo. Kama unataka kujifunza First aid na Fire fighting unaweza enda Jeshi la zima moto au OSHA. Na ishu ya kufanya kazi melini nenda DMI au Bandari Collage Tandika
 
Back
Top Bottom