Ni taasisi gani/chombo gani/ watanzania tunajivunia???? Acha tujivunie CNN, BBC, Chelsea, Man U etc!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
1,495
936
Wapi Prof Shivji? Wapi Dr Slaa? Wapi Prof Lipumba?

Wapi TWAWEZA? Wapi ITV? Wapi TBC? Wapi Simba? Wapi Yanga?

Wapi TRA? Wapi BOT? Wapi Ministry of Finance? UDSM?

Wapi Police Force? Wapi JWTZ ya akina Shimbo? Ikulu? Wapi TISS?

Ni kitu gani Watanzania tunajivunia kwa uwepo wa utawala wa CCM miaka zaidi ya 54?

Kila kitu Tanzania CCM kimefanya corrupt, hatuna chochote kinachoaminika na Watanzania!

TANZANIA BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA KWENYE DUNIA YA LEO!
 
mimi najivunia sana mkuu kuishi TANZANIA kwani najihisi ni mwerevu sana kuliko wajinga wengi waTANZANIA
 
Bavicha mnapenda kulialia sana ...nawashauri mpunguze kulia na mmbakize machozi ya kulilia kuanzia October 26 na kuendelea....
 
wapi prof shivji? Wapi dr slaa? Wapi prof lipumba?

Wapi twaweza? Wapi itv? Wapi tbc? Wapi simba? Wapi yanga?

Wapi tra? Wapi bot? Wapi ministry of finance? Udsm?

Wapi police force? Wapi jwtz ya akina shimbo? Ikulu? Wapi tiss?

Ni kitu gani watanzania tunajivunia kwa uwepo wa utawala wa ccm miaka zaidi ya 54?

Kila kitu tanzania ccm kimefanya corrupt, hatuna chochote kinachoaminika na watanzania!

Tanzania bado tuna safari ndefu sana kwenye dunia ya leo!

tunajivunia amani , upendo na utulivu;

mshapigwa , mbona unapagawa

waziri wa ujenzi vs mawaziri wakuu 3
 
oct.25 ndio tutaamua hatma ya maisha na utanzania wetu! kama chama kile kile kikirudi madarakani, wallah sitakua mzalendo tena wa taifa hili!!! peeeeeopleeeessss!!!
 
tunajivunia amani , upendo na utulivu;

mshapigwa , mbona unapagawa

waziri wa ujenzi vs mawaziri wakuu 3
Hilo kundi la wasanii na mgombea wenu tunashindwa kuelewa ni fiesta ama Bonanza!!
 
Back
Top Bottom